Mboka man
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 478
- 1,638
1. Dalili ya kwanza mapenzi huongezeka kipindi una hela au amegundua una hela ila hela ikipungua mapenzi hupungua.
2. Mwanamke anawekea kipaumbele mipango yake kwanza itekelezwe kuliko mambo mengine mathalani anataka mtaji wa biashara hilo jambo lake huwa anataka liweke kipaumbele kuliko mambo megine
3. Anaanza kukulimit swala la marafiki kuna aina flani ya marafiki huwa hapendi muongozane nao sababu anajua watakufundisha ujanja
4. Ukiomba papuchi atakuletea visingizio kibao au anaanza kukupa calender ila ukimuonesha usoni umenuna basi atakupa ili nafsi yako iliridhike kwa sababu anajua nini anakitafuta kwako
5. Muda mwingi katika mazungumzo yenu huwa anatumua muda mwingi kukuelezea kuhusu matatizo na shida zinazomkabili yeye na familia yake na wewe ndio anakuweka kwenye point utamsaidiaje hapo anakuwa amekutega
6. Ukimsaidia ktk shida zinazomkabili atakushuru halafu atajitenga na wewe kwa muda flani hivi kwa kisingizio yupo bizee kuna issue imembana ila ubizee huanza kuisha pale anapokuwa na shida au amekwama hapo utaombwa vocha,hela,nauli n.k
7. Anakuwa ana wivu uliopitiliza na penzi linaongezeka mara dufu pale anapojua mambo yako yameanza kukuonyokea mathalan umepata kazi nzuli
8. Ukiwa huna hela au mambo yako hayapo sawa atajitenga na wewe lakini pia mawasiliano atapunguza na ww ila siku akikutafuta atakuwa anakuulizia kuhusu mambo yako yakoje kama huna kazi atakuuliza vipi umeshapata kazi akijua bado atamute akijua mambo mazuli atakuomba muonane
Haya endeleeni wengine dalili zinazonyesha wewe ni stepping stone
Kwa wale wanaume wasio elewa kuhusu stepping stone hapa tunazungumzia ngazi ya mtu kuweza kutimiza malengo yake