Dalili za mwanamke anayekuchukulia wewe ni stepping stone wake

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
1. Dalili ya kwanza mapenzi huongezeka kipindi una hela au amegundua una hela ila hela ikipungua mapenzi hupungua.

2. Mwanamke anawekea kipaumbele mipango yake kwanza itekelezwe kuliko mambo mengine mathalani anataka mtaji wa biashara hilo jambo lake huwa anataka liweke kipaumbele kuliko mambo megine

3. Anaanza kukulimit swala la marafiki kuna aina flani ya marafiki huwa hapendi muongozane nao sababu anajua watakufundisha ujanja

4. Ukiomba papuchi atakuletea visingizio kibao au anaanza kukupa calender ila ukimuonesha usoni umenuna basi atakupa ili nafsi yako iliridhike kwa sababu anajua nini anakitafuta kwako

5. Muda mwingi katika mazungumzo yenu huwa anatumua muda mwingi kukuelezea kuhusu matatizo na shida zinazomkabili yeye na familia yake na wewe ndio anakuweka kwenye point utamsaidiaje hapo anakuwa amekutega

6. Ukimsaidia ktk shida zinazomkabili atakushuru halafu atajitenga na wewe kwa muda flani hivi kwa kisingizio yupo bizee kuna issue imembana ila ubizee huanza kuisha pale anapokuwa na shida au amekwama hapo utaombwa vocha,hela,nauli n.k

7. Anakuwa ana wivu uliopitiliza na penzi linaongezeka mara dufu pale anapojua mambo yako yameanza kukuonyokea mathalan umepata kazi nzuli

8. Ukiwa huna hela au mambo yako hayapo sawa atajitenga na wewe lakini pia mawasiliano atapunguza na ww ila siku akikutafuta atakuwa anakuulizia kuhusu mambo yako yakoje kama huna kazi atakuuliza vipi umeshapata kazi akijua bado atamute akijua mambo mazuli atakuomba muonane

Haya endeleeni wengine dalili zinazonyesha wewe ni stepping stone

Kwa wale wanaume wasio elewa kuhusu stepping stone hapa tunazungumzia ngazi ya mtu kuweza kutimiza malengo yake
 
Good economics

Life is all business, basically buying and selling...
Katika kila kitu unachokifanya ni either unauziwa kitu au unanunua kitu hahahaaaa!

Ku-base maisha kwenye love na huruma na upendo na mapendo na mafundisho yalee ya kupendana mnayoambiwa kanisani na misikitini ni umbulula mkubwa sana—- exchange of Self interest ndo kila kitu

Nipe nikupe—— ukiwa huna cha kutoa vumilia upate muexchange self interests basi...
 
Mkuu kwa hiyo afadhali wanaonunua makahaba eeh ,
Toa kitu pata kitu c ndio , ndio maana siku hizi ndoa ni za manati na hata ikipatikana kudumu inakua ni mtihani
 
Sema ni umburura kumvumilia mtu anaekupenda kipindi cha raha na shida zake , wewe ikiwa na shida hana time na ww ,ni umburura wa hali ya juu.
 
Wanawake wazuri wapo, mshirikisheni MUNGU katika kuwa tafuta.

Na wewe kijana umri wako kiuanzia 30+ acha kuleta mazoea na mabinti 25+ hawa huwa tayari wameshakuwa tatizo na changamoto.

Tafuta wanawake below that age limit hao ndio wapo open for serious relationship discussion. Above that age tayari wameshapitia mahusiano mengi na kuna sababu wapo single hadi umri huo.
 
Hebu ongea kiswahili uelewekevizuri mkuu......
 
Wanawake wazuri wapo, mshirikisheni MUNGU katika kuwa tafuta.

Na wewe kijana umri wako kiuanzia 30+ acha kuleta mazoea na mabinti 25+ hawa huwa tayari wameshakuwa tatizo na changamoto.

Tafuta wanawake below that age limit hao ndio wapo open for serious relationship discussion. Above that age tayari wameshapitia mahusiano mengi na kuna sababu wapo single hadi umri huo.
Mkuu si wanasema under 25 eti bado hawajakua na sio wife materials!!
 
Watoto wa Mama mnaudhi sana!! Kulia!!! lia tyuuu!!!........ suala ni je umempendaaa? baaasi!! .... hayo mengine yatafuata! ...km hujampenda!! hapo ndo raha sasa ilipo! atatumika km punda tu!! alale huko aje sawa tu!

Lkn Km nimekupenda wee!!!eee!! thubutu!! ...huniachi ng'oo!!oo!! kwanza wake zetu ni wadogo kiumri kuliko sisi!! wengine km watoto wao kiumri! sasa mdogo wako/mwanao, atakuzidi akili kweli? wapi na wapi?

Jitu zima umekomaa mpaka ukoko umeota? wkt hako kademu unakaendesha km katapila??? unalia bila aibu nimeachwaaaa!!! ukiona mtu ameachwa na mdogo wake hana akili!!!! tena unafaa kupigwa kabisa na ufungwe!.....

Na wengi wenu ni division zero! totoz! huyo atazaa navo taka!! atakaa na kunyooka navo taka!! hakuna kupingana! amri zangu anafuata na bakora juu! ukiona ameondoka!! ni mimi nimetaka na atarudi kupigwa Bakora km kawa!!

Jamaa lita lea tu wasio wake!........ Dume zima katoto kanakuendesha??? unakalipa!, unakajengea, unakalisha, unakazalisha, unakalinda, unakasomeshea vitoto vikatunze bure, utakufa mapema kina kula raha kwa nyumba yako!

Km haitoshi unakapa raha bure kwani zile raha wana lipiaga? unapanda juu, kanalia bila kupigwa, weee!! hallooo! labda si Mimi! na wewe unastahili hayo mateso anayo kupa huyo sijui mkeo!! make huna akili.....
 
Wanawake wazuri wapo, mshirikisheni MUNGU katika kuwa tafuta.

Na wewe kijana umri wako kiuanzia 30+ acha kuleta mazoea na mabinti 25+ hawa huwa tayari wameshakuwa tatizo na changamoto.

Tafuta wanawake below that age limit hao ndio wapo open for serious relationship discussion. Above that age tayari wameshapitia mahusiano mengi na kuna sababu wapo single hadi umri huo.
Under 25 uozo mtupu, kama unataka kufa na drama za kishenzi date na hao mburula😅
 
Back
Top Bottom