Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,708
- 5,711
Wahenga walishasema ukiona wingu zito limetanda fahamu kuwa kuna mvua kubwa itanyesha.
CCM ya sasa imenona na imekuwa safi na kwa mantiki hii inakubalika kwa wananchi. Ndio maana kila jimbo au kata ni mafuriko ya wanaCcm kuchukua fomu ili wakajaribu kupata nafasi ya kuwa wawakilishi wa wananchi. Na wanafanya hivi sababu wanajua watashinda sababu Ccm inakubalika 100%.
Lakini Ccm haijanona hivi hivi kiurahisi. Bali kazi kubwa iliyofanywa na serikali yake chini ya JPM ndio iliyosababisha watu wakawa na imani na chama hiki.
Kudhibiti rushwa na ufisadi ambao umepelelea kufanya miradi ya kimkakati ambayo in manufaa ya kimaendekeo kwa wananchi ndio siri ya CCM kujenga imani kwa wananchi.
Mfano mradi wa maji kutoka Shinyanga mpaka Tabora ambao umegharimu bil 600 ni moja ya miradi ambayo itaipa ushindi Ccm kwa kila mgombea eneo la mkoa wa Tabora. Maana yake ni Rais, Mbunge na Diwani watakuwa CCM.
Pia ujenzi wa meli mbili ziwa Nyasa ambao umeondo kero ya usafiri ziwani humo. Utaipa ushindi mkoani Ruvuma na Mbeya kwa nafasi zote tatu zinazogombewa.
Hii ni sababu wananchi wametatuliwa kero zao na CCM chini ya JPM.
Hii ni mifano kiduchu tu na kwa mantiki hii CHADEMA na wapinzani uchwara ambao kazi yao ni kupinga maendeleo ya taifa hili wasubiri kuona Tanzania ya kijani kila mahala.