Dalili za mke anayetoka nje ya ndoa

Dalili za mke anayetoka nje ya ndoa

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,934
Dalili za Mke anayetoka nje ya ndoa:

1) Anatembea na vidonge vya majira kwenye mkoba wake, wakati mume amefanyiwa Vasectomy (Kufunga kizazi kwa mwanaume)

2) Anakuwa na namba ya siri ya simu ambayo mume haijui

3) Anatumia muda mwingi anapokwenda sokoni au kufanya manunuzi ya wiki

4) Anajinunulia nguo za gharama zikiwemo nguo za ndani bila kumshirikisha mume

5) Anakuwa akitegemea zaidi ushauri kutoka nje kwa watu wengine zaidi ya mumewe

6) Anaacha kuvaa pete ya ndoa bila sababu

7) Anapopigiwa simu akiwa karibu na mumewe anaizima au kwenda kupokelea nje

8) Anakuwa hajali tena mambo ya familia na hujiamulia mambo yake mwenyewe

9) Ni rahisi sana kusema ‘nipe talaka yangu’ inapotokea kutofautiana hata kwa jambo dogo.

10) Dharau na kejeli kwa mume hujionyesha waziwazi
 
Kuna walioadvance wewe, anakuwa hana dalili hata moja ya hizo ulizotaja. Kumgundua labda uambiwe au umkamate live,
 
Dalili za Mke anayetoka nje ya ndoa:

1) Anatembea na vidonge vya majira kwenye mkoba wake, wakati mume amefanyiwa Vasectomy (Kufunga kizazi kwa mwanaume)

2) Anakuwa na namba ya siri ya simu ambayo mume haijui

3) Anatumia muda mwingi anapokwenda sokoni au kufanya manunuzi ya wiki

4) Anajinunulia nguo za gharama zikiwemo nguo za ndani bila kumshirikisha mume

5) Anakuwa akitegemea zaidi ushauri kutoka nje kwa watu wengine zaidi ya mumewe

6) Anaacha kuvaa pete ya ndoa bila sababu

7) Anapopigiwa simu akiwa karibu na mumewe anaizima au kwenda kupokelea nje

8) Anakuwa hajali tena mambo ya familia na hujiamulia mambo yake mwenyewe

9) Ni rahisi sana kusema ‘nipe talaka yangu' inapotokea kutofautiana hata kwa jambo dogo.

10) Dharau na kejeli kwa mume hujionyesha waziwazi
Ukitaka kumjua mume mwenzio,muache mkeo.
 
Ukimwona Mwanamke kila akitoka matembezini harakaharaka anafua chupi jua imeliwa!
 
labda n za karne ya 16 sio karne hii

Siku hizi anakupigia simu anaongea na wewe huku analiwa.....tena anakuweka loud speaker.....ukimuuliza vipi sweetie mbona kama unahema hivo huku unongea, anakujibu niko salon naoshwa kichwa ngoja nikimaliza ntakupigia baby. Kumbe kuna lijamaa linasukuma manyama ndani...
 
Dalili za Mke anayetoka nje ya ndoa:

1) Anatembea na vidonge vya majira kwenye mkoba wake, wakati mume amefanyiwa Vasectomy (Kufunga kizazi kwa mwanaume)

2) Anakuwa na namba ya siri ya simu ambayo mume haijui

3) Anatumia muda mwingi anapokwenda sokoni au kufanya manunuzi ya wiki

4) Anajinunulia nguo za gharama zikiwemo nguo za ndani bila kumshirikisha mume

5) Anakuwa akitegemea zaidi ushauri kutoka nje kwa watu wengine zaidi ya mumewe

6) Anaacha kuvaa pete ya ndoa bila sababu

7) Anapopigiwa simu akiwa karibu na mumewe anaizima au kwenda kupokelea nje

8) Anakuwa hajali tena mambo ya familia na hujiamulia mambo yake mwenyewe

9) Ni rahisi sana kusema ‘nipe talaka yangu' inapotokea kutofautiana hata kwa jambo dogo.

10) Dharau na kejeli kwa mume hujionyesha waziwazi

Ungemodofy na kusema baadhi ya tabia maana nyengine sio applicable
 
Siku hizi anakupigia simu anaongea na wewe huku analiwa.....tena anakuweka loud speaker.....ukimuuliza vipi sweetie mbona kama unahema hivo huku unongea, anakujibu niko salon naoshwa kichwa ngoja nikimaliza ntakupigia baby. Kumbe kuna lijamaa linasukuma manyama ndani...
Hahahahahahaaaaa!! Jamani, nimecheka sana, mmmmmmh hii kali benteke umeijuaje hii au imekutokea nini? Hebu tujuze please.
 
hahahahaha eeeeeh raha sana
 
Hahahahahahaaaaa!! Jamani, nimecheka sana, mmmmmmh hii kali benteke umeijuaje hii au imekutokea nini? Hebu tujuze please.

hahahaha....jamaa yake alikua ana wivu sana anampigia kila saa , siku hiyo akaniambia nipunguze speed ili apokee simu...nikajua utani. Akapokea na akamjibu hivyo na jamaa karidhika " poa sweetie" nikaendelea na pumping ya nguvu.
 
Mmmmmmmmh so benteke wewe ni bingwa wa michepuko (ushakuwa generator???) watch out my dear, kila mla cha mwenzie na chake pia huliwa!!!! Things goes around always comes around!!!! Michepuko sio dili. Baki njia kuu benteke:shock::shock:
 
Back
Top Bottom