Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,734
kuna wanawake kila siku wapo period?
huyo mwanamke kila siku anafua chuppi?akiwa anafua we huwa unakuwa wapi?
kuna wanawake kila siku wapo period?
Ni adventure ya ajabu......hamna kuzima simu....unapokea kama kawaida tu huku mambo yanaendelea taratibu.
Mmmmmmmmh so benteke wewe ni bingwa wa michepuko (ushakuwa generator???) watch out my dear, kila mla cha mwenzie na chake pia huliwa!!!! Things goes around always comes around!!!! Michepuko sio dili. Baki njia kuu benteke:shock::shock:
na jamaa anaendelea kuongeza spid kuona mwanaume mwenzie kashindwa kazi....hahah
Heehehe......tufanyaje sasa. ndio digitali inavyotaka hivyo.
AHSANTE! Na uende utuletee dalili za mwanaume nayetoka nje ya nyumba basi
Khaa hadi kununua vyupi umshirikishe mumeo?? Duu! Huby leo nimenunua kyupi kya mtumba ha ha mweeh!! Ya kweli haya??
Watu ndo wanavyotaka sio digitali
Ukimwona Mwanamke kila akitoka matembezini harakaharaka anafua chupi jua imeliwa!
Siku hizi anakupigia simu anaongea na wewe huku analiwa.....tena anakuweka loud speaker.....ukimuuliza vipi sweetie mbona kama unahema hivo huku unongea, anakujibu niko salon naoshwa kichwa ngoja nikimaliza ntakupigia baby. Kumbe kuna lijamaa linasukuma manyama ndani...
Umesahau....akirudi nyumbani ananukia harufu ya sabuni ya 'Eva'
Alaaa, kumbe!
Haya poleni mlioko kwenye ndoa.
Umenikumbusha mbali sana......mimi iliwahinitokea kama hiyo ila ilinifanya nikanyong'onyea sana!Siku hizi anakupigia simu anaongea na wewe huku analiwa.....tena anakuweka loud speaker.....ukimuuliza vipi sweetie mbona kama unahema hivo huku unongea, anakujibu niko salon naoshwa kichwa ngoja nikimaliza ntakupigia baby. Kumbe kuna lijamaa linasukuma manyama ndani...