Kiroroma
JF-Expert Member
- Feb 6, 2009
- 370
- 114
Jamani hizi dalili mbona zipo upande wa kike tu? Yaani wanaume wote mpo right au nyie huwa hamutendi hivi vitu?
Wanaume si wepesi kusema maneno makali,tena ukigundua busara za walio wengi wanakwepa sana kutamka maneno makali kama hivyo.Pia wanaume ni rahisi sana kusamehe na kusahau,Lakini wanawake ni story kusahau.Haya ni mapungufu ya mwanadamu yeyote yule ila tunazidiana jinsi ya kukabiliana na udhaifu wa jinsi yoyote ile.