Dalili Za Asiyekupenda Kwa Dhati

Jamani hizi dalili mbona zipo upande wa kike tu? Yaani wanaume wote mpo right au nyie huwa hamutendi hivi vitu?

Wanaume si wepesi kusema maneno makali,tena ukigundua busara za walio wengi wanakwepa sana kutamka maneno makali kama hivyo.Pia wanaume ni rahisi sana kusamehe na kusahau,Lakini wanawake ni story kusahau.Haya ni mapungufu ya mwanadamu yeyote yule ila tunazidiana jinsi ya kukabiliana na udhaifu wa jinsi yoyote ile.
 
Hii mbona imekaa kikekike vile!!! Mh na wanaume je?? huwa wanaonyesha vituko gani kama amekuchoka, au tusema hakupendi??? Ila tu penzi likiingia mchanga utagundua tu, haina haja hata ya kwenda kwa Kalimanjila, actions will speak louder than words!!! Otherwise, Shy umejitahidi ku exhaust kwa pande wa kike. Naomba exhaust kwa upande wa kiume pia. Bravo.
 
Hii bana wakati mwingine huwa haimaanishi kuwa hakupendi kuna mwingine anasema hivi kutokana na kero na uchungu anaoupata kutoka kwa mpenziwe pamoja na kuwa anampenda sana. Mimi nilishawahi kuwa naitumia hii (sio kutumia tu bali nilikuwa namaanisha) maana vituko alivyokuwa ananifanyia nilikuwa naona ni afadhali kila mtu ashike ustaarabu wake kwani nilikuwa naona kama nampa kero na kumlazimisha kuishi nami wakati hanipendi angekuwa ananipenda kamwe asingekuwa ananifanyia vitu vinavyuoniumiza mara kwa mara na ukimwuliza anakuwa mbogo na hata samahani haombi!. Mimi ninampenda mpaka kesho ingawa ndo ilikuwa hivyo tena.

So mtu kukwambia kila mara ni afadhali tuachane doesnt necessarily mean hakupendi bali kero na maumivu unayompa anaona afadhali tu mpart

pole mami! na hakuna kitu kinachoumiza kama kumpenda mtu then yeye hajali kwa lolote, anaona kama kazi bure, haaa haya mapenzi yasingekuwepo bwana lol
 
... kila siku mashtaka yanayokuja hapa ni udhaifu wa kina baba na ndoa zao, leo umeletwa muhtasari wa manyanyaso kina dada wanaotufanyia (wanaume), nyie hamtaki!

:) "mkuki kwa nguruwe?"
 
pole mami! na hakuna kitu kinachoumiza kama kumpenda mtu then yeye hajali kwa lolote, anaona kama kazi bure, haaa haya mapenzi yasingekuwepo bwana lol

Shost yaani huwa naumia sana tu kila nikikumbuka matendo alokuwa akinifanyia halafu akishtakiwa kwa mashemeji anadai ananipenda sana ila mimi ndiye nisiyempenda kwa kuwa kila mara natishia kuachana naye yaani haoni wala hajisumbui kuangalia ni kwa nini ninamwambiaga hivyo. Nway ndio kujifunza lakini maana nilikuwa naingiaga dhambi wakati mwingine maana nilishawahi kuombea apate mwingine (kama hakuwa naye) ili tu anipe pumzi.
 
Jamani hizi dalili hata kwa wanaume pia zipo,yalishanipata mwenzenu nimefall kwa jamaa vituko alivyokuwa anafanya,nakumbuka alidiriki kuniambia kwamba wala hana malengoo yoyote na mimi kama vipi nichukue time,nilijisikia vibaya sana nikaona dalili ya mvua ni mawingu,taratibu nikaanza kujinasua huko,baada ya kuona na mimi sina time nae tena akarudi nikamwambia ulishaniambia huna malengo na mimi na pia huna mpango wa kuoa mtu ambae si wa kabila lako,nilimwuliza huko kwenye kabila lako wadada wameisha?na vipi pia uliposema huna malengo malengo sasa yamekuja?akaanza kujiuma ooo sikuwahi kusema hayo nikamwambia aendelee na maisha yake,sasa hivi amejaribu kila njia turudiane imeshindikana. In short hizi tabia ziko pande zote mbili.
 
... kila siku mashtaka yanayokuja hapa ni udhaifu wa kina baba na ndoa zao, leo umeletwa muhtasari wa manyanyaso kina dada wanaotufanyia (wanaume), nyie hamtaki!

:) "mkuki kwa nguruwe?"

Jamani Mbu mbona hatujabisha ni katika kuelezea exceptions tu kaka . Tuko ukurasa mmoja kuwa kweli wapo wanawake wenye vijitabia hivi. Ila kwani mleta mada anespecify kuwa mwanamke akikufanyia hivi ina maana hakupendi au ni mimi ndo sijasoma vema.
 
Jamani hizi dalili hata kwa wanaume pia zipo,yalishanipata mwenzenu nimefall kwa jamaa vituko alivyokuwa anafanya,nakumbuka alidiriki kuniambia kwamba wala hana malengoo yoyote na mimi kama vipi nichukue time,nilijisikia vibaya sana nikaona dalili ya mvua ni mawingu,taratibu nikaanza kujinasua huko,baada ya kuona na mimi sina time nae tena akarudi nikamwambia ulishaniambia huna malengo na mimi na pia huna mpango wa kuoa mtu ambae si wa kabila lako,nilimwuliza huko kwenye kabila lako wadada wameisha?na vipi pia uliposema huna malengo malengo sasa yamekuja?akaanza kujiuma ooo sikuwahi kusema hayo nikamwambia aendelee na maisha yake,sasa hivi amejaribu kila njia turudiane imeshindikana. In short hizi tabia ziko pande zote mbili.

Msindima shukuru mungu dada ilikutokea kungali mapena wapo wale ambao haya huwatokea wakiwa tayari ndoani sasa sijui hapo unafanyaje kama si kubakia na maumivu na kukonda kama ng'onda.
 
MwanajamiiOne

Nilimshukuru sana Mungu kwa kunionyesha mapema,maana ningekuwa ndani ya nyumba sijui ingekuwaje,na sasa hivi jamaa anahangaika sana lakini nimemwambia NO.Kwa hiyo ushauri wangu ukigundua kuwa mtu anakupenda hamna sababu ya kumfanyia vituko.
 
hizi ni za mwanamke asiyekupenda kwa dhati au hata mwanamme, maana wakaka nao hawajachacha hana interest lakini yumo tu haswa anapoona ananufaika (maslahi) akiona demu mambo fulani kila siku haishi kulia shida na sina hela ndio neno lake, offer zote zitoke kwa dada yeye anapanga venue tu!! hii imekaaje akina dada ebu wekeni list ya vitabia vyao!!
 
2 : Anapata kigugumizi kukutambulisha kwa rafiki zake na ndugu na inapotokea amebanwa hafikishi ujumbe kwa kiwango timilifu.

3 : Haoneshi kubana matumizi kwa ajili ya maendeleao, kwake ni kufuja mali na anapokosa kupewa pesa ni mwepesi kulalamika na wakati mwingine kununa kabisa.

4 : Anaahilisha mara kwa mara kukutana na wewe tena bila kukueleza sababu za msingi Au kukutungia uongo wa dhahili na kuusisitiza bila kuona aibu.

5 : Anapokuwa akitoa maelezo ya mwanaume amtakaye sifa zake zinakuwa hayalingani na wewe. Anaweza kukuambia napenda kuishi na mwanaume mwenye gari au mwenye mwili mkubwa, sifa ambazo wewe huna!

6 : Hacheki kwa furaha hata kama ukimchekesha haoneshi furaha ya moyoni. Tena mara nyingine anakuwa mkimya na mshiwishi mkubwa wa kuachana kutoka kwenye matembezi yenu ya jioni. “Aaah, mi nimechoka narudi nyumbani”

7 : Anajaribu kukuunganisha na wanawake wengine na haoni vibaya anaposikia unamfukuzia mwingine badala yake anakutia moyo wa kuendelea na usaliti wako. Hana wivu kabisa.

8 : Hajuti anapokukosea, mwepesi wa kujitenga, kutokuzungumza nawe na mwingi wa kukusukumia makosa hata kama yeye ndiye aliyekukosea.

9 : Msambazaji wa habari za udhaifu wako na mtu asiyekusifia mbele za wenzake. Si balozi mwema kwa familia yake, haishi kukuponda mbele ya wazazi na ndugu zake.

10 : Mwepesi wa kupokea na si wa kutoa mmiliki wa mali zako na mkumbatiaji wa mali zake pia. Msiri wa mipango yake na mtu anayependa kujua zaidi ya kwako kuliko wewe kujua yake.

11: Hathamini uwepo wako na anakuchukulia kama mtu wa akiba. Hakumis unapokuwa haupo, hahisi upweke wala hakukumbuki unapokuwa mbali naye.

12 : Hakutii moyo unaposhindwa na mara nyingine hauzuniki nawe unapokuwa una shida,. Hachukui huzuni yako kama yake, hakufariji na hakusaidii kutatua kilichokwama.

13 : Mhamasishaji wa uasi hasa wa watoto na ndugu, anayeweza kuchochea hisia za jamii ikuone mbaya, ukudharau na wakati mwingine ikutenge. Mwenezaji wa sifa zako mbaya.

14 : Hakupi kipaumbele katika maamuzi, anajiona yeye ndiye wa kwanza na wewe ni mtu wa kufuata hata unapopinga hasitishi dhamira yake ya kutenda.

15 : Humsisimui katika mambo ya faragha, anakuchukulia kama ndugu yake.

16 : Hakuhudumii tendo la ndoa mpaka siku amependa mwenyewe. Ni mwingi wa sababu za kuchoka kusingizia ugonjwa na mwenye kuhisi kero ya kucheza nawe mchezo wa kikubwa.

17 : Hazungumzii maendeleo yenu, mwepesi wa kushawishi ilivyopatikana viuzwe ili atimize hitaji lake. “Niuze simu yangu niende kuwaona wazazi, maana kuna sherehe ya motto huko!”

18 : Hataki kuambiwa ukweli na anapotokea akaambiwa anajitetea kwa kumtaja mwanaume mwingine. “Mbona Shabani (si jina halisi) anamfanyia hili, hamfanyii hivi mkewe”

19 : Hasamehe na kusahau. Kosa la mwaka juzi analijengea hoja.

20 : Mwepesi wa kutoa kauli za kutengana na asiyeogopa kuachwa. “Kama vipi kila mtu akae kivyake maana naona unaniboa tu, unadhani nitashindwa kuishi bila wewe”

BRAZAK

21. Ukijaribu kumwomba tiGo anakunyima kabisa huku akijua ni haki yako ya msingi kupeana.

22. Ukitaka uvinza nako inakuwa utata kabisa anakuzuia kabisa kuzama uvinza huku akitambua punde mnapo kuwa wawili ni kujiachia kila kitu hata ukijamba harufu inageuka pafyumu na inabidi umsifie kwa kuto jivunga kupumua.

23. Ukimpa apointment mkutane sehemu yeye akitangulia akifika katika eneo husika anaagiza soda au maji wewe ukifika tu anabadili kinywaji anaagiza REDBULL au HEINECKEN au kinywaji chochote cha ghali huku akijifanya hajui kuwa kuna kitu kinaitwa cost sharing.

24. Mkipeana kideti yeye anakuja na marafiki au company ya watu zaidi ya mmoja katika eneo husika.

25.
 
Jamani hizi dalili zimenikumbusha mbali sana,nakumbuka nilishapelekwa kwa ndugu wa jamaa yangu, huo utambulisho uliniacha hoi,jamani huyu ni mtoto wa mzee fulani anaefanya kazi mahali fulani nilichoka nikanyamaza tu,yaani alikua hataki kabisa ijulikane kuwa tuna uhusiano,nilijiuliza maswali mengi sana.
Kwa baadhi ya wanaume naamini sio wote tabia hizi ni mbaya sana na zinakera mno.
 
Na ukaendelea kuwa na uhusiano na huyu mtu aliyekutambulisha?
Hii ilikuwa inakula kwako jumla kuna mwingine pembeni wao ndo wanamjua.
 
21. Ukijaribu kumwomba tiGo anakunyima kabisa huku akijua ni haki yako ya msingi kupeana.

22. Ukitaka uvinza nako inakuwa utata kabisa anakuzuia kabisa kuzama uvinza huku akitambua punde mnapo kuwa wawili ni kujiachia kila kitu hata ukijamba harufu inageuka pafyumu na inabidi umsifie kwa kuto jivunga kupumua.

23. Ukimpa apointment mkutane sehemu yeye akitangulia akifika katika eneo husika anaagiza soda au maji wewe ukifika tu anabadili kinywaji anaagiza REDBULL au HEINECKEN au kinywaji chochote cha ghali huku akijifanya hajui kuwa kuna kitu kinaitwa cost sharing.

24. Mkipeana kideti yeye anakuja na marafiki au company ya watu zaidi ya mmoja katika eneo husika.

25.

mmhh kazi kweli.
 
Mapenzi huwa si permanent. Kilicho permanent ni interrests za wapendanao. Take care. Hiyo list huzikumba ndoa karibu zote at one time or another. Kama huajaoa, ujue kwa uhakika iko siku huyo utakayemuoa atakufanyia hayo. Kwa hiyo cha kuangalia ni permanent interrest kwenye relationship yako kama zinakuwa met. Mapenzi yanapoanza kudanganyana kwingi sana, especially kina dada, wanapotaka kupata waume.

Hayo huwakumba wote. Wapo wanaodumu kwa sababu ya commitment to each other lakini si eti bado mnapendana kama zamani. Jiandae kwa hilo kama halijakukumba iko siku. All women are just like that!! How true and how painful!!
 
Fidel80

Dalili ya mvua ni mawingu,nilipoanza kuona jamaa hasomeki nikaanza kupunguza mazoea,nikafanikiwa na nikam-mwaga,baada ya kummwaga nadhani na kule alikukuwa anakupa kipaumbele akatemwa, akaanza kurudi ooo unajua nakupenda sana,nikampa fact nikamwambia hivi huna fungu katika maisha yangu we chapa zako mwendo alibembeleza nikamwambia sina mpango na wewe tena,akamtafuta kaka yangu na kumweleza kuwa nimemwacha wakati alikua ananipenda,kaka yangu nae akampa fact maana nilishamweleza hali halisi,up to now hana mwelekeo juzi tena kanifata kazini kwangu,nikamwambia aendelee tu na mambo yake, mimi kwa sasa sina huo mpango nimeusitisha lililopo kichwani kwangu ni kusoma tu.
 
Hahahaha lakini ulivyo mmwaga hakukukasirika? Kwa vile alikuwa na sehemu aliyo egemea> Namaanisha hakuumia zaidi?
Nakupongeza kwa uamuzi mgumu na wa busara.
 
21. Ukijaribu kumwomba tiGo anakunyima kabisa huku akijua ni haki yako ya msingi kupeana.

Hapa wewe unayo yako. Hii pia (kudai TiGO) inaweza kuwa moja ya dalili ya kutompenda mwenzio. Kama hukuwahi kumwambia hapo mwanzo au ulimwambia akasema hataki unamlazimisha ni kuwa HUMPENDI.

22. Ukitaka uvinza nako inakuwa utata kabisa anakuzuia kabisa kuzama uvinza huku akitambua punde mnapo kuwa wawili ni kujiachia kila kitu hata ukijamba harufu inageuka pafyumu na inabidi umsifie kwa kuto jivunga kupumua.

. Mh hapa tena kali

24. Mkipeana kideti yeye anakuja na marafiki au company ya watu zaidi ya mmoja katika eneo husika.
Hahahahahaaaaa umenikumbusha kina joti wakati wa Ze Comedy
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom