Dalili ya mvua ni mawingu


mjibu umekuwa dreve wa treni kwa muda mrefu ndo maana unaweza kudandia bila kupata madhara
 
mwanamke ulimpata kwenye vigodoro nin yan msaga sumu anawaharibu watu jaman
 
hakuna mashambulizi mazuri kwenye ugomvi wa maneno kama UKIMYA
 
Dah kuna ile ndugu wa mume ni shidah sana kwa kwa ndugu zako!hawa maduu wa kizaramo hawafai..
 
Labda kama umeoa mswahili...
 
dawa ndogo tu!
akiba taarabu
weka cd ya kwaya....! over
au jiondokee
 
Ukiokota mwanamke kwenye rusha roho labda...decent women hawaaimbii waume zao taarab

This is major stereotyping!

Tatizo siyo nyimbo za taarab.

Kama kuna tatizo basi ni tatizo la mtu na maadili yake lakini si nyimbo za aina au namna fulani.

Hivyo sioni uhusiano wa ustahifu/mwenendo mwema (decency) na taarab.

Mwanamke anaweza akamwimbia mumewe taarab na bado akawa mwenye uadilifu mkubwa sana kuliko anayemwimbia mumewe nyimbo za injili.
 

mkuu hapa issue ni kwamba aina ya maneno anayoyaimba yanareflect negative altitude. Mwanzoni wa mapenz yenu hazikuwepo, kadiri siku zinaenda anakuimbia taarabu zenye maneno yanayobring negative altitude in ur mind aka mipasho, unataka kusema hapo hakuna tatizo?
 
dawa ndogo tu!
akiba taarabu
weka cd ya kwaya....! over
au jiondokee

utaondoka mara ngapi ndugu? Na dawa ya tatizo sio kulikimbia, ni kulitatua, kulingana na mjumbe mmoja kabla ya kuoa na wewe angalau ujue miziki ya kufoka foka.
 

Kwa hiyo tatizo ni mtu, maneno au taarab?

Je akitumia maneno hayo hayo kwenye (kuimba) neo-soul, country, au rhythm and blues bado utazilaumu hizo genres kuwa ndo tatizo?
 
Kwa hiyo tatizo ni mtu, maneno au taarab?

Je akitumia maneno hayo hayo kwenye (kuimba) neo-soul, country, au rhythm and blues bado utazilaumu hizo genres kuwa ndo tatizo?

mkuu wimbo siyo tatizo, tatizo ni aina ya maneno anayoimba. Mfano anakuimbia, umelala huo, umelala huo, ....na ukute umelala kweli' hapo inakuwaje?
 
mkuu wimbo siyo tatizo, tatizo ni aina ya maneno anayoimba. Mfano anakuimbia, umelala huo, umelala huo, ....na ukute umelala kweli' hapo inakuwaje?

Basi kumbe wala hubishi nilichokuwa nakisema!
 
tabia za watu wa pwani hizi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…