sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
Ukiona Mwanamke anaanza kuimba mashairi ya taarabu ndani ya nyumba ujue ni dalili za kukuchoka!, tena anaimba mistari mikali mikali. Yaani kila ukirudi unakutana na mistari mipya.
Wadau mnalionaje hili, kuna mfanyakazi mwenzangu amepatwa na hii hali yupo stressed haelewi kinachoendelea. Kuna mstari mmoja kaniambia sema nimeusahau ila hauleti heshima katika ndoa ama mahusiano.
Naomba mnitajie mistari ile yenye kuudhi nikiiona nitaiweka halafu tuambiane kama inaleta heshima ktk ndoa.
From no where mkeo baada ya kuzoeana sana anakuambia "umedandia treni kwa mbele" bila shaka hz ni dalili za kukuchoka.