Dalili ya mvua ni mawingu

Ni sawa kutumia code,ila mkuu hili chapisho lako linaelea sana,ungeweka hints chache🔐
 
Mhudumu leta 🍺 🍺 🍺 🍻 🍻 za kutosha
 
Mleta maada nimesoma nikarudia tena

Kwamba Kuna kenge mmoja yuko hoi kitandani kwamba hana uwezo hata wa kunyanyua kidole chake

Kibiblia ni kwamba dunian hakuna mwenye makao

Acheni kutesa wenzenu bila sababu tujifunze kusamehe

SAYUNI BOY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…