Swala la kutoridhisha wake au wapenzi wetu ni swala ambalo limekuwa ni tatizo kubwa katika mahusiano na hata ndoa nyingi. Sababu kubwa ni kukosa elimu ya mapenzi na kutokuwa na mawasiliano baina ya wahusika.
Leo sitaki kuzama zaidi katika sababu wala solution ila nataka kujadili viashiria vinavyoweza kuonyesha kuwa haumfikishi mwenzi wako.
Zifuatazo ni dalili tano kuu ambazo kama mwenzi wako anazo hebu jaribu kuzungumza naye:
1. Kuwa na hasira, kununa. - mwanamke asiyeridhishwa kimapenzi mara nyingi huwa na hasira kwako, kwa wanafamilia wengine na hata majirani na kazini wakati mwingine. Pia atakuwa ni mtu wa kususa na kununa. Jambo dogo anaweza kununa hata wiki au wiki mbili. Kimsingi usifikiri hilo jambo ndo limesababisha anune, la hasha, hiyi ni trigger tu. Kinacho sababisha mwanamke anune ni hasira za kutofikishwa kimapenzi.
2. Haombi tendo la ndoa, na wakati mwingine hata wewe ukimuomba ana kataa kwa kutoa visingizio kama amechoka au anaumwa. Ukweli ni kwamba mwanamke anayefikishwa atataka dudu mara kwa mara, hadi mwanaume ndo utaomba puu. Ukiona mwanamke katika mazingira ambayo mna afya njema na yanaruhusu tendo la ndoa, lakini anakaa siku 5 bila kuomba na mara zote hadi wewe ndo uombe inabidi ushituke.
3. Baada ya tendo la ndoa anakurupuka kwenda bafuni. Kwa kawaida mwanamke aliyefika kelele huchukua dakika kadhaa hadi kupata nguvu za kunyanyuka kwenda bafuni. After all mwanamke anaweza kukaa na hiyo juice ndani mwake bila madhara hata akilala nayo. Sasa ukiona baada ya tendo anakimbia bafuni ujue kuna mawili. Mosi anaenda kujimalizia mwenyewe au umemkera anaona shida kuendelea kukaa na midude yako ndani mwake.
4. Hajali kuhusu lishe yako. Mwanamke anayefika anajua mwanaume ni kama ng'ombe wa maziwa ili aendelee kutoa maziwa ni lazima alishwe vizuri. Atahakikisha una pata mlo unaostahili kukupa nguvu na kutengeneza mbegu za kutosha. Hata kama unashinda kazini anaweza kukufungia kachakula fulani au ukirudi jioni utakuta chakula fulani. Wengine hutenga chakula maalumu kwa baba. Kimsingiatajali kuhusu ulaji wako.
Yule asiyefikishwa hali ni tofauti. Hatajali unakula nini. Wakati mwingine atakushauri upitie chipsi uje nazo maana nyumbani hakuna chakula.
5. Kuwa karibu na mashoga kuliko wewe. Mwanamke anayefikishwa siku zote wakati wowote atapenda kuwa na wewe. Kama ikitokea hampo pamoja ni kwa sababu tu ya mambo kama kazi, na mambo mengine ya kijamii. Ila mwanamke ambaye hafikishwi atakuwa closer na mashoga, kazi au mambo mengine ambayo yatamuweka mbali na wewe. Anachelewa kutoka kazini na wakati mwingine hata weekend anaenda ingawa alikuwa na option ya kutokwenda. Kumbuka kuna wengine wale ambao kutokana na kazi zao ni lazima wachelewe kutoka na waende kazini weekend. Hapa naongelea wale wenye option.
Najua kuna nyingine kadhaa ambazo wadau wataongezea. Cha msingi jamani tufunguke. Mweleze mwenza wako atakuelewa.