Matege
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 1,476
- 648
Hata wewe usingenikoti hii post ningejipiga ban ya wiki
hahaaaaaa
Hata wewe usingenikoti hii post ningejipiga ban ya wiki
Chanzo ni uzoefu, utafiti usio rasmi pamoja na maandiko mbalimbali katika internet.
Hata wewe usingenikoti hii post ningejipiga ban ya wiki
Hujamuelewa rudia tena kusoma maelezo yake...
Kumbeeeeee.......!!!Mmmm, hiyo ya kukimbia chooni Kwa upande wangu haina maana sigikishwi Bali pirika zile sio za kitoto jasho lake mpaka nywele zinatotaa jasho, nikiwa Kama mwanamke Kuna Mengi yakumfanyia mume wangu baada ya kunipa Raha zote, kumsafisha kwanza sio aende chooni ni wajibu wangu mm kumpumzisha yy hapo sina budi laZima ninyanyuke niwajibike ....
Unajichanganya kwenye maelezo yako. Umesema hufikishwi ingawa umeandika g badala ya f. Halafu pia unasema baada ya kukupa raha. Which is which.
Pia hizi dalili siyo lazima zionekane zote. Yaweza kuwa moja, mbili, tatu n.k kati ya hizo.
Kumbeeeeee.......!!!
Hahahaha my wii bwana yani umetuteka familia nzima maana tunavyokupenda?
Mmmm, hiyo ya kukimbia chooni Kwa upande wangu haina maana sigikishwi Bali pirika zile sio za kitoto jasho lake mpaka nywele zinatotaa jasho, nikiwa Kama mwanamke Kuna Mengi yakumfanyia mume wangu baada ya kunipa Raha zote, kumsafisha kwanza sio aende chooni ni wajibu wangu mm kumpumzisha yy hapo sina budi laZima ninyanyuke niwajibike ....
Usiogope endelea tu maana wengine kwenye kitchen part walipata vyombo tu ambavyo vinaishia jikon haya ya chumbani yaliwapitaEnheee...kila mtu na alivyo funzwaaaa...kwetu aibu mwanamme akiinukaa kwenda kunawaaa chooni...wacha niishie hapa Daudi usitake kuyatafutaa usiku huu....lol
Nimekukubali khasaa wewe Mtanga Pure kule kule chumbageni..ivi somo yako alikua nani? Manake umefuzuuuu👏👏👏...
duu nimecheka sana hao hata kwetu wapoUnajichanganya kwenye maelezo yako. Umesema hufikishwi ingawa umeandika g badala ya f. Halafu pia unasema baada ya kukupa raha. Which is which.
Pia hizi dalili siyo lazima zionekane zote. Yaweza kuwa moja, mbili, tatu n.k kati ya hizo.
Hivi vitu huwa naviona mtandaoni tu...
Hivi kumbe kuna wanaume huwa hawatoi mahaba barabara...
Hasara yao...
Usiogope endelea tu maana wengine kwenye kitchen part walipata vyombo tu ambavyo vinaishia jikon haya ya chumbani yaliwapita
Swala la kutoridhisha wake au wapenzi wetu ni swala ambalo limekuwa ni tatizo kubwa katika mahusiano na hata ndoa nyingi. Sababu kubwa ni kukosa elimu ya mapenzi na kutokuwa na mawasiliano baina ya wahusika.
Leo sitaki kuzama zaidi katika sababu wala solution ila nataka kujadili viashiria vinavyoweza kuonyesha kuwa haumfikishi mwenzi wako.
Zifuatazo ni dalili tano kuu ambazo kama mwenzi wako anazo hebu jaribu kuzungumza naye:
1. Kuwa na hasira, kununa. - mwanamke asiyeridhishwa kimapenzi mara nyingi huwa na hasira kwako, kwa wanafamilia wengine na hata majirani na kazini wakati mwingine. Pia atakuwa ni mtu wa kususa na kununa. Jambo dogo anaweza kununa hata wiki au wiki mbili. Kimsingi usifikiri hilo jambo ndo limesababisha anune, la hasha, hiyi ni trigger tu. Kinacho sababisha mwanamke anune ni hasira za kutofikishwa kimapenzi.
2. Haombi tendo la ndoa, na wakati mwingine hata wewe ukimuomba ana kataa kwa kutoa visingizio kama amechoka au anaumwa. Ukweli ni kwamba mwanamke anayefikishwa atataka dudu mara kwa mara, hadi mwanaume ndo utaomba puu. Ukiona mwanamke katika mazingira ambayo mna afya njema na yanaruhusu tendo la ndoa, lakini anakaa siku 5 bila kuomba na mara zote hadi wewe ndo uombe inabidi ushituke.
3. Baada ya tendo la ndoa anakurupuka kwenda bafuni. Kwa kawaida mwanamke aliyefika kelele huchukua dakika kadhaa hadi kupata nguvu za kunyanyuka kwenda bafuni. After all mwanamke anaweza kukaa na hiyo juice ndani mwake bila madhara hata akilala nayo. Sasa ukiona baada ya tendo anakimbia bafuni ujue kuna mawili. Mosi anaenda kujimalizia mwenyewe au umemkera anaona shida kuendelea kukaa na midude yako ndani mwake.
4. Hajali kuhusu lishe yako. Mwanamke anayefika anajua mwanaume ni kama ng'ombe wa maziwa ili aendelee kutoa maziwa ni lazima alishwe vizuri. Atahakikisha una pata mlo unaostahili kukupa nguvu na kutengeneza mbegu za kutosha. Hata kama unashinda kazini anaweza kukufungia kachakula fulani au ukirudi jioni utakuta chakula fulani. Wengine hutenga chakula maalumu kwa baba. Kimsingiatajali kuhusu ulaji wako.
Yule asiyefikishwa hali ni tofauti. Hatajali unakula nini. Wakati mwingine atakushauri upitie chipsi uje nazo maana nyumbani hakuna chakula.
5. Kuwa karibu na mashoga kuliko wewe. Mwanamke anayefikishwa siku zote wakati wowote atapenda kuwa na wewe. Kama ikitokea hampo pamoja ni kwa sababu tu ya mambo kama kazi, na mambo mengine ya kijamii. Ila mwanamke ambaye hafikishwi atakuwa closer na mashoga, kazi au mambo mengine ambayo yatamuweka mbali na wewe. Anachelewa kutoka kazini na wakati mwingine hata weekend anaenda ingawa alikuwa na option ya kutokwenda. Kumbuka kuna wengine wale ambao kutokana na kazi zao ni lazima wachelewe kutoka na waende kazini weekend. Hapa naongelea wale wenye option.
Najua kuna nyingine kadhaa ambazo wadau wataongezea. Cha msingi jamani tufunguke. Mweleze mwenza wako atakuelewa.

Kwani uongo mamaDaudi mchokozi weye....
Hivi ni kweli wazee walisema kuchapiwa ni siri ya ndani!