Dalili kwamba umenenepa

unapiga kimoja(me) fasta unakimbilia kwenye friji kuchukua maji ya kunywa ili kupoza rejeta....mi mafuta ianchemka!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kweli ww ndebile aiseeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
nguo kama zote zishanibana... kweli hamna mwembamba dunia hii, kuna wakati nilikuwa kimbaumbau sana.. kumbe zilikuwaga njaa tu!!
 
Nikifululizaga nyama choma na bia namba tatu hunikuta sana.!
 
Huwa najishitukia mwenyewe nakata kula nyama choma, ila huwa napata tabu kukata bia hata kwa wiki.!
Yaani kuna wakati unafululiza ugali nyama choma na Serengeti lite baridiiiii baadae unawaza hizi nyama nilizokula mpaka sasa hivi matokeo yake nikilala au ninapoamka asubuhi...
 
Kuanza kuhisi uchovu na mwili kuwa mzito,kupenda kulala lala,ukipiga kimoja ukigeukia ukuta kuamka ni Kesho saa mbili tena Kwa msaada wa alarm
Hilo la kimoja na kugeukia ukuta sijui kama ni sababu,
maana wengine tukimaliza kupiga kimoja
mwenzio anakuwa kaishaimba nyimbo zote,
unageukia ukuta kuepusha usije ukaendelea ikawa taabu.
 
Yaani kuna wakati unafululiza ugali nyama choma na Serengeti lite baridiiiii baadae unawaza hizi nyama nilizokula mpaka sasa hivi matokeo yake nikilala au ninapoamka asubuhi...
Halafu ujinga wa nyama choma ukienda choo hupati kulingana na ukivyokula, yaani umekula nyama za kutosha halafu choo hata hakieleweki,...inakera sana.!
 
Halafu ujinga wa nyama choma ukienda choo hupati kulingana na ukivyokula, yaani umekula nyama za kutosha halafu choo hata hakieleweki,...inakera sana.!
Nyama inatumika sana kwenye mwili ndio maana...alafu huwa tunailainisha kwa bia hapo mwili unakuwa hauna maji ukienda ofisi kubwa unatoa kipisi kidogooooooo....unashangaa ile nyama yote iko wapi
 
Nyama inatumika sana kwenye mwili ndio maana...alafu huwa tunailainisha kwa bia hapo mwili unakuwa hauna maji ukienda ofisi kubwa unatoa kipisi kidogooooooo....unashangaa ile nyama yote iko wapi
Halafu nasikia inachelewa sana kusagwa tumboni, yaani inaenda hadi siku tatu bado iko tumboni....sasa kwa nini mtu usijambe na kuota vibaya vitambi.....na isitoshe wengi wao hatufanyi kazi za kuushughulisha mwili kwa kiasi cha kutosha.
 
Kutokula mchana hakutokusaidia endapo unapokula huzingatii chakula ulacho
Nazingatia mkuu.. Kuku wa kisasa..Mayai..Chips hizii.. Nyama chomaa yani sigusiii..!! Now najifeel kupungua kabisa.. hata Nguo zilizokuwa zinanibana now at lst... Unene mbaya sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…