Author
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 1,745
- 8,222
Wakati huu wa mapumziko watu tuleeee... tunywe... Ila tukumbumbushane mambo kadhaa... Dalili ambazo zitakusaidia kufahamu kuwa unaongezeka uzito/unene ni;
1. Kula sana zaidi ya kiasi ulichokuwa unakula kipindi cha nyuma kutokana na kuwa na njaa mara kwa mara.
2. Nguo kubana; yaani hapa unajaribisha nguo kama zote kabla hujaamua ipi ya kuvaa wakati wa kutoka.
3. Kujamba sana na mara kwa mara (hata ukiwa umelala)
4. Watu wa karibu nawe au wanaokufahamu kuamza kukuita bonge.
5. Ngozi kung'aa; hapa ni kutokana na mwili kuongezeka.
Nyingine wadau muongezee wenyewe....