Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,059
- 74,465
Mtoto wa kiume 11 yrs na kuendelea ukiona anapenda kunyonya kidole
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kweli katika hatua za makuzi kuna steji ikirukwa hupelekea mtoto kunyonya kidole.Mtoto wa kiume 11 yrs na kuendelea ukiona anapenda kunyonya kidole
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihiNINA TAARIFA TOFAUTI KWAKO!
ZAMANI HALI ILIKUWA MBAYA YES!!
Kina MAUMBA NA WENGINE!
BUT HIVI SASA NI WORSE ZAIDI!
MAANA SASA WATOTO HAWAKO SALAMA KWA WAKUBWA WALA WATOTO WENZAO!
Wazazi wenyewe ndio hawa wanaofirana wao kwa wao na kushangilia ulaji wa tiGo???Upo sahihi
Sijutaka kusoma hii mada yako
Niliona heading tu nikapita
ILA
Leo jion nineangalia kipindi cha makala
Azam 11..( mambo haya haya ya ulawiti na ubakaji wa watoto husussan wanafunzi primary)
Kata ya Igogo_ Nayamagana hali inatisha
Mtendaji anasema kila week anapata case zaid ya 3!
Baadhi ya watoto wanayofanya hayo wanaongea mambo ya kutisha.
Hali ni mbaya Wazazi tuamke
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo baba bado anapumua?wallah wangeokota kiroba kokoKiukweli watoto wetu hawako salama sio wa kike sio wa kiume, hali inatisha jamani inahitajika nguvu ya ziada mnooo ,leo kuna mama mmoja anatuuziaga ndizi hapa kazini, alipotea almost mwezi mzima leo kaja tukamuuliza vp huonekani anasema mtoto wake wa 5 yrs amebakwa na baba mtu mzima tena mwenye familia na watoto juu.anaongea hadi analia, mtoto kaharibiwa hafai, niliwaza, nkajikuta nalia ,unajiuliza baba mtu mzima anabaka mtoto mdogo anapata hamu gani, ni wap yule mtoto anaweza mtamanisha,yaani ahaa basi tu
Yuko mahabusu hukohuyo baba bado anapumua?wallah wangeokota kiroba koko
YAH NI KWELI, KUNA IDADI KUBWA YA WAZUNGU WALIOJITOKEZA AMBAO KWA SASA NI WATU WAZIMA HUKO MAMBELE, WALIDAI WAMEFANYIWA SANAA UNYAMA KINYUME NA MAUMBILE WAKIWA WATOTO KTK NYUMBA ZAO ZA IBADDA !!!! INAHUZUNISHA SANA.Hata kwenye nyumba za ibada hakuaminiki
Hivi ni kusema kuwa Hawa wanaofanya vitendo hivyoView attachment 1048145
WATOTO WANATUMIKA KINGONO!
Inaumiza lakini ndio uhalisia! sio kitu kinapendeza machoni wala akili lakini ndio ukweli!
Watoto wetu hawako salama!
Hawako salama sio kwa watu tunaoamini sio salama.
Watoto hawako salama kwa watu tunaoamini wako salama!
Kuna vitu tu lazima kama jamii tuambiane na tuinue sauti kuvizungumza!
Unyanyasaji kingono miongoni mwa watoto ni jambo ambalo lipo, linafanyika, linatendeka under our very noses!
Ni vile tu hatuamini na tunafikiri wapo salama! ni vile tu tunaamini sio kitu kinaweza kutokea kwa wanetu! ni vile tu tunaamini wapo watoto aina fulani wa kufanyiwa hayo!
Sio kweli!
Sio kweli!
Sio kweli!
Leo hebu tushirikishane dalili ambazo zinaweza kuwa taarifa kuwa mtoto anatumika kingono.
Unyanyasaji kingono umekuwa ni sehemu ya historia za maisha ya baadhi yetu.
Matukio yote unayokumbuka ulifanyiwa ukiwa mdogo ambayo leo ukiwa mtu mzima
unaweza kuyahusisha na matukio ya kingono na hukusema ndiyo hayo yanaweza kuwa yanamtokea mtoto sasa na hasemi.
nyingine ni
- Mtoto anapata shida kukaa au kutembea (2 - 10yrs)
- Anaogopa kupita kiasi baadhi ya watu, mahali au vitu (0-5yrs)
- Anapenda kujishika sehemu za siri kiasi cha kujisahau mpk kulala akiwa anajishika.
- Anakaa chooni muda mrefu au kuhitaji kujisaidia mara kwa mara.(0-5yrs)
- Anaweweseka usiku (0-5yrs)
- Anakataa/kusumbua kula au kutapika bila ugonjwa mahsusi. (0-5yrs)
- Analia sana (0-3yrs )
- Anaona aibu na kujitenga (umri wote)
- Anashindwa kuzuia haja kubwa (4-7yrs)
- Anakuwa mkimya isivyo kawaida (umri wa balehe)
- Anashuka kielimu (6-17)
- Anakuwa na kiburi, maamuzi ya kukinzana na maagizo( umri wa balehe)
- Mimba (11-17)
- Majaribio ya kujiua (8- 17)
- Anakimbia nyumbani mara kwa mara (8-17)
- Msongo wa mawazo (8-17)
- Anakataa kushiriki shughuli za nyumbani, za shule, za kiroho. (7-17)
Ongeza zingine na tushauriane cha kufanya!
Hali sio nzuri!
Sio nzuri kabisa!
cc sema tanzania
Kiukweli watoto wetu hawako salama sio wa kike sio wa kiume, hali inatisha jamani inahitajika nguvu ya ziada mnooo ,leo kuna mama mmoja anatuuziaga ndizi hapa kazini, alipotea almost mwezi mzima leo kaja tukamuuliza vp huonekani anasema mtoto wake wa 5 yrs amebakwa na baba mtu mzima tena mwenye familia na watoto juu.anaongea hadi analia, mtoto kaharibiwa hafai, niliwaza, nkajikuta nalia ,unajiuliza baba mtu mzima anabaka mtoto mdogo anapata hamu gani, ni wap yule mtoto anaweza mtamanisha,yaani ahaa basi tu
Deep sana👏🏿View attachment 1048145
WATOTO WANATUMIKA KINGONO!
Inaumiza lakini ndio uhalisia! sio kitu kinapendeza machoni wala akili lakini ndio ukweli!
Watoto wetu hawako salama!
Hawako salama sio kwa watu tunaoamini sio salama.
Watoto hawako salama kwa watu tunaoamini wako salama!
Kuna vitu tu lazima kama jamii tuambiane na tuinue sauti kuvizungumza!
Unyanyasaji kingono miongoni mwa watoto ni jambo ambalo lipo, linafanyika, linatendeka under our very noses!
Ni vile tu hatuamini na tunafikiri wapo salama! ni vile tu tunaamini sio kitu kinaweza kutokea kwa wanetu! ni vile tu tunaamini wapo watoto aina fulani wa kufanyiwa hayo!
Sio kweli!
Sio kweli!
Sio kweli!
Leo hebu tushirikishane dalili ambazo zinaweza kuwa taarifa kuwa mtoto anatumika kingono.
Unyanyasaji kingono umekuwa ni sehemu ya historia za maisha ya baadhi yetu.
Matukio yote unayokumbuka ulifanyiwa ukiwa mdogo ambayo leo ukiwa mtu mzima
unaweza kuyahusisha na matukio ya kingono na hukusema ndiyo hayo yanaweza kuwa yanamtokea mtoto sasa na hasemi.
nyingine ni
- Mtoto anapata shida kukaa au kutembea (2 - 10yrs)
- Anaogopa kupita kiasi baadhi ya watu, mahali au vitu (0-5yrs)
- Anapenda kujishika sehemu za siri kiasi cha kujisahau mpk kulala akiwa anajishika.
- Anakaa chooni muda mrefu au kuhitaji kujisaidia mara kwa mara.(0-5yrs)
- Anaweweseka usiku (0-5yrs)
- Anakataa/kusumbua kula au kutapika bila ugonjwa mahsusi. (0-5yrs)
- Analia sana (0-3yrs )
- Anaona aibu na kujitenga (umri wote)
- Anashindwa kuzuia haja kubwa (4-7yrs)
- Anakuwa mkimya isivyo kawaida (umri wa balehe)
- Anashuka kielimu (6-17)
- Anakuwa na kiburi, maamuzi ya kukinzana na maagizo( umri wa balehe)
- Mimba (11-17)
- Majaribio ya kujiua (8- 17)
- Anakimbia nyumbani mara kwa mara (8-17)
- Msongo wa mawazo (8-17)
- Anakataa kushiriki shughuli za nyumbani, za shule, za kiroho. (7-17)
Ongeza zingine na tushauriane cha kufanya!
Hali sio nzuri!
Sio nzuri kabisa!
cc sema tanzania
Una madini mamaSimba , chui na nyani hakutani kimwili na wanyama wadogo.
Wanasubiri wakati sahihi kwao!
SureInaishi hii.
Hakika mkuu!Ndio maana huwa siwafichi kitu wadogo zangu na watoto ninaoishi nao,huwa nawaambia live Mambo yote ya ulimwengu wa Sasa,mtu akikuambia hivi,akikufanya hivi,akileta dalili izi n.k msikae kimya mniambie na najitahidi kuhakikisha mtu akiwa nje anakuwa na sababu maalum na unajua Yuko wapi,mgeni akija Bora alale yeye pazuri wewe lala chumba kingine hata kwenye mkeka na nikiona Mambo siyaelew sioni aibu,unampeleka mputa mputa
Maana hata ukificha wewe mtaan hayafichiki
Malezi ya Sasa mpaka uwe baba au mama kauzu Kama dagaa.
Usisubiri kujuta baadae.Dunia tuliyonayo mashetan yameongezeka.
Wengi aibu ya kuongea na mtoto mambo ambayo unahisi hajayajua Bado ndio inaponza baadae unakuta kumbe yeye ndio mjuzi kuliko wewe
Majuto ni mjukuu