Dalili 5 za mwanamke asiyekupenda

Nickson Swai

JF-Expert Member
Sep 5, 2018
548
475
Dalili 5 za mwanamke asiyekupenda izo hapo

1.Anavunja appointment muda wowote

2.Hajali uwepo wako

3.Hakutafuti mpaka wewe umtafute

4.Anacheka kwa dharau

5.Anatangaza mambo yako kwa rafiki zake

6.Hajibu sms zako. Hivyo ukiona dalili hizi ndugu yangu jiongeze ila uking'ang'ania utaumia.
 
7. Hata ukimtafuta anakueleza matatizo yake ili uyatatue na yenye ghaRama hivyo usijiangaishe kujitutumua utaumia
 
Mpaka uyaone yote hayo kwani wewe hujiongezi tu.
Akifika dalili ya 3 tu ulishakuwa na mwingine.
 
Mmmh kuna kaukweli aiseee......
 
Hivyo vyote ni lazima kama huna pesa.
Hawezi kuvunja appointment kuhofia kukosa pesa.
Anajali uwepo wako apate pesa.
Kila wakati anakutafuta hadi kero.
Anajichekesha kwako.
Hukutangazi kwa rafiki zake kuogopa kupinduliwa.
SMS moja anajibu kumi.

Tafuta pesa, basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…