Dalaly Kafumu amekalia kuti kavu Igunga

Dalaly Kafumu amekalia kuti kavu Igunga

mnapoteza muda wa kufanya kazi za kuimarisha chama chenu na kushughulikia mpasuko unaokitafuna chama,hiyo kesi mpaka ije kusikilizwa si itakua ni 2014!
 
Kama jamii inaona haki imepokonywa si vibaya wakafight for their right lakini tuache kutafuta haki kwa kutumia majina ya watu majukwaani
 
kesi ya nyani anapelekewa ngedere! no value added

True! Naona kesi ya ubungo inavyoendeshwa kiaina, msimamizi wa uchaguzi anakiri mapungufu kuibeba ccm!!!
 
mnapoteza muda wa kufanya kazi za kuimarisha chama chenu na kushughulikia mpasuko unaokitafuna chama,hiyo kesi mpaka ije kusikilizwa si itakua ni 2014!

Mpasuko!!!!!! unaconfuse na Magamba!!!!!
 
mnapoteza muda wa kufanya kazi za kuimarisha chama chenu na kushughulikia mpasuko unaokitafuna chama,hiyo kesi mpaka ije kusikilizwa si itakua ni 2014!
Dada KIM KARDASH Mungu hamfichi mnafki, hebu njoo hapa utueleze leo ni mwaka 2014?
 
Last edited by a moderator:
Wengine tuko mbali what happened?
Kuwa na raia wa category hii kwenye nchi ni mzigo kwa Taifa, mtu ana Internet access na yupo ndani ya thread husika na still hajui kinachoendelea!! Ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!
 
mnapoteza muda wa kufanya kazi za kuimarisha chama chenu na kushughulikia mpasuko unaokitafuna chama,hiyo kesi mpaka ije kusikilizwa si itakua ni 2014!

kumbuka kila unachopost hapa jamvini chaweza kukuhukumu!
 
mnapoteza muda wa kufanya kazi za kuimarisha chama chenu na kushughulikia mpasuko unaokitafuna chama,hiyo kesi mpaka ije kusikilizwa si itakua ni 2014!
Mkuu KIM KARDASH, mdharau mwiba guu huota tende, huo ndio usemi wa wahenga chambilecho! nasikia kimenuka huko Igunga kwani fisadi mwenzenu kaliwa kete mchana kweupee!!!!
 
Mkishinda, Mahakama inatenda haki, mkishindwa, mahakama haitendi haki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom