Dalali

Dalali

Nataka kufanya kazi ya dalali wa viwanja, nyumba, vitu kama baiskeli, gari, pikipiki, vifaa vya nyumbani nk.
Naomba kufahamishwa taratibu za kufuatwa za kiserikali na gharama zake.
 
Back
Top Bottom