Dalali wa vyumba Dar anisaidie

Jan 17, 2024
47
71
Sifa za chumba
  • Kiwe kidogo
  • Kingae, I mean kipya kipya na vigae chini.
  • Wilaya ya ubungo au kinondoni
  • Mazingira kidogo ya rami (isiwe uswahilini sana)
  • Umeme masaa 24 (labda mpaka tanesco wakate)
  • Kulipa kwa miezi mitatu
  • Muanzia cha 50k hadi 100k kwa mwezi nachukua (Chumba kifanane na bei)

** kwa maeneo nje ila karibu na hizo wilaya tunaweza ongea**

Niko hewani 0749220083
 
Umeme masaa 24 (labda mpaka tanesco wakate)
We unadhani tanesco wanaweza kukuchia umeme 24hrs
 
Umeme masaa 24 (labda mpaka tanesco wakate)
We unadhani tanesco wanaweza kukuchia umeme 24hrs
Hoja yake ni kwamba nyumba isiwe na migogoro ya kukatika umeme mfano luku kuisha halafu wapangaji wengine wanakuwa wasumbufu kununua. Ukikatika iwe ni tanesco wamekata
 
Back
Top Bottom