Eng Saimon
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 351
- 311
Natumai mu wazima wana jamii wenzangu; Bila kuwachosha naomba niende moja kwa moja kwenye mada:
Nimekuwa nikisikia uwepo wa madalali ambao wana uwezo wa kusimamia na kufanikisha uhamisho wa watumishi wa umma katika maeneo mengi ya miji hapa nchini. Maranyingi madalali hawa si watumishi wa TAMISEMI ila ni watu mashughuli wenye kufahamiana na waandamizi/watendaji wa sekta mbalimbali za utumishi wa umma.
Kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya upatikanaji wa hawa watu anijuze tafadhari.Lengo langu ni kufanikisha uhamisho wa mwalimu wa S/Msingi toka Dodoma kwenda Dar.Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa ushirikiano wako.