Dalali wa kazi

juakal

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
587
123
Salam wakuu.

Nimesikia kuna madalali wa kazi. Kama ni wewe nitafute PM au kama unamjua mwambie anitafute, kazi inahitajika. Usipitwe hili dili.

Sikukuu njema, tusherehekee kwa amani.
 
Juakal kweli! Utatapeliwa hadi ukome! Kazi pambana mwenyewe unataka utafutiwe??? Kwani elimu uliopata sio level yako ?? Adi ushindwe ku fight for work
 
Back
Top Bottom