Ukimpa konda 10,000/-, usipolazimisha atakaa kimya ili usahau. Vile vile mtu akipanda hatoi nauli mpaka alazimishwe, asipodaiwa kabisa anashuka kimyakimya bila kutoa.
Weye mzoefu....Ukisalimiana na Dereva Mkipiga story vizuri konda hakudai nauli
Huwa natumia usafiri wa daladala, kuna mambo ambayo huwa yananiletea maswali kama:
1. kwa nini wanaotaka kumkoromea konda au hata abiria wengine huwa wannasema......unajua unaongea na nani?.......usinione nimepanda daladaladala ukadhani sina gari!! wengine hufikia hatua ya kujiita usalama wa taifa n.k
2. kwa nini mtu anapofika kwenye kituo anachotaka kushuka anamuita konda kumuomba amshushe na siyo dereva.......hata kama abiria anayetaka kushuka amekaa siti ya mbele?
3. msamaha wa nauli kwa polisi na wanajeshi, kutotolewa kwa msamaha huo kwa wanafunzi
mambo mengine yanachekesha mf.
.jana abiria moja kashuka kagoma kutoa nauli, konda akawa anamdai hela kwa ustaarabu....abiria waliokuwa ndani ya daladala wakamfokea sana konda kwamba kwanini hakumpatia kichapo cha nguvu huyo jamaa
.juzi konda kauliza mara nyinginyingi "kanisa, kanisa nani anashuka,kanisani", abiria mmoja akajibu kwa ghadhabu "acha kutupigia kelele , kanisani kanisani ebo!
.siku nyingine dereva alikuwa akiendesha gari kwa mwendo wa taratibu.....kias kwamba ilituchukuwa two hours kutoka Ubungo kufika tazara....abiria walimponda sana dereva.....eti.....hajui kutafuta hela, hatapata maendeleo, hachangamshi mguu wengine wakamuita zoba nk

hivi na ninyi wanaJF huwa mnakutana na haya mambo??
Kuna watu hao, maalum kuanzisha mijadala safarin. kila stor anaijua vizur na kuchangia! Hanyamaz hata ukijikausha vip?!usiombe ukae nae seat moja atakuzibua sikio, na kuhangaika hangaika km kakalia mbigili.
Ha ha ha hiyo ya kubaki na chenji iliwahi nikumba nilimpa konda 10,000 akajikausha mie nikashuka kinondoni muslim wewe ile tu nataka kuingia kona nakumbuka nikarudi nikaisubiri itoke Mwananyamala ikarudi nikaikumbuka sababu nilikuwa na ticket imeandikwa 9850 aliporudi nikamwambia wewe nilikwambia nipe chenji yangu mara mbili ili nisisahau hana la kusema akanirudishia 10,000 maana alikuwa hajapata chenji.
Ila daladala raha bana kuna vituko vya kila aina
ahahahahaaah!! Mtu wa hivyo usikae nae jirani safari za kwenda mkoa...Kuna watu hao, maalum kuanzisha mijadala safarin. kila stor anaijua vizur na kuchangia! Hanyamaz hata ukijikausha vip?!usiombe ukae nae seat moja atakuzibua sikio, na kuhangaika hangaika km kakalia mbigili.
Kuna watu hao, maalum kuanzisha mijadala safarin. kila stor anaijua vizur na kuchangia! Hanyamaz hata ukijikausha vip?!usiombe ukae nae seat moja atakuzibua sikio, na kuhangaika hangaika km kakalia mbigili.

tehtehee....sikuijua hiyo mbinu!

Kuna watu hao, maalum kuanzisha mijadala safarin. kila stor anaijua vizur na kuchangia! Hanyamaz hata ukijikausha vip?!usiombe ukae nae seat moja atakuzibua sikio, na kuhangaika hangaika km kakalia mbigili.

WE JANA YALINKUTA HAYO AF MATE YANARUKA KILA MAHALI,NLIKUWA NIMESHAKERANA NA BOSS WANGU OFS AF NKAKUMBANA NA MTHUYO DALADALANI KHAAAAA