Daladala

basi lipo tuupu,halafu mtu anaacha vitu vilivyo wazi<br />
anakuja kukaa pembeni yako...na harufu ya jasho juu lol
<br />
<br />
ha ha ha! Usiombe upande bus la kwenda kivukon asubuh, wale wajasiria mali n noumer,shortly hawaogi.
 
Abiria wengi huwa hawapendi kurudishiwa noti chakavu na konda bt wanapozitoa wao konda akihoji hujibiwa mi nina kiwanda au ndo ninayo hii tu kumbe anazo nyingine nzima
 
Afu kama nauli ni sh 350 mtu anatoa sh 300 akiulizwa nyingine anajifanya kutoa sh 10,000. Konda anapokea na anarudisha chenji hafu jamaa anabaki kanuna kimoyomoyo.
 
nimecheka mpaka basi...
sasa watu hao,wapo pia maofisini...
unakuta haupo kwenye mood ya story,mtu huyo....hanyamazi...

...mbaya zaidi mko ofisi moja, kaingia JF na anaanza kukusomea kwa sauti habari ambayo wewe ulishaisoma.
 
Kna cku tulikuwa kwny folen,sasa kna muuzaj maji akawa anapita kwa konda kila saa "pata maji bariiiid maji bariiid". Kumbe konda kile kitu kilikuwa kinamuuma khee! Akaropoka "bwana acha ku2pigia makelele unatupa maji barid, ugal uko wap, au unadhan kila m2 amekula mchana" bas dah gobole zima la mbagala likaripuka kicheko.

tehetehe..........ukute alikuwa na desh ya milo miwili
 
Afu kama nauli ni sh 350 mtu anatoa sh 300 akiulizwa nyingine anajifanya kutoa sh 10,000. Konda anapokea na anarudisha chenji hafu jamaa anabaki kanuna kimoyomoyo.

kuna rafiki yangu alipandia daladala kutoka Mlimani kwenye kituo cha Kontena kwenda Ubungo, kufika daladala gari likasimamishwa ili kupakia abiria, muda mrefu ukapita hadi daladala nyingine zikawa zinawapita, ........akaamua kushuka ili apande daladala nyingine, si konda akamkaba ampe nauli yake.......kutoka kontenan hadi utawala ni karibu saana!.......basi huyo rafiki yangu akampatia mia mbili we........konda akachachamaa! Atoa noti ya elfu kumi ili amkomoe konda.......konda naya akaipokea na kumrudishia chenjichenji tuuuuuu.......imagine chenjichenji kiasi cha elfu tisa na mia saba!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Najiskia msisimko ninaposoma mada
daladala raha sana,

wadada wanafanyiwa kitu mbaya hasa gari ikiwa imejaza nyomi. Alishuka dada mmoja mrembo huku kwa nyuma akiwa amekojolewa sperms duh ilikuwa aibu ile mbaya yeye anatembea tu bila habari sijui hata mbele ya safari ilikuwaje.

Dungadunga wanaitwa mitaa ta tmk wapo kibao
 
wanaume wengine bwana sijui wakoje???????..........kwana hawana wanawake wao????????
mbona wako hivyo!!!! ndo nini sasa kumchafua mdada wa watu!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom