Daladala zinauzwa kwa bei ya scraps

Daladala zinauzwa kwa bei ya scraps

SOKO LA MAGARI

Senior Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
115
Reaction score
66
Magari yafuatayo yakiwa na vibari na njia za Daladala zinauzwa kwa bei rahisi sana unakaribishwa kuziona na ku bagain bei yote yako Dar.TOYOTA DCM 2, (zote engine ya 14B) MITSUBISH EICHER 2 (zote zina engine ya canter)

Picha zinafuata punde
 
Usihofu kabisa magari ni namba B hizo eicher na bei ni 18 mln @ utachagua unayotaka maongezi yapo
body zote hazijawahi kupata ajali na utapewa spare kibao zikiwemo engine na gearbox complete kwa maelewano
 
Tunasubiria picha

picha na bei

Si punde tena imekuwa siku.

Nyie mnauliza Picha,ulizeni kwanza Bei.
Unaweza kupewa bei ukajikuta hata picha huihitaji tena

Usihofu kabisa magari ni namba B hizo eicher na bei ni 18 mln @ utachagua unayotaka maongezi yapo
body zote hazijawahi kupata ajali na utapewa spare kibao zikiwemo engine na gearbox complete kwa maelewano
 
lugha za biashara ni tatizo katika biashara.....
watu wanaomba BEI na PICHA.... bei umeshatoa....picha vipi?
 
Back
Top Bottom