Daladala za Arusha zagoma

Maneno mazito sana ndiyo maana muafaka baina ya CCM na CHADEMA niliunga mkono bahati mbaya wengi hawaoni athari za kiuchumi wamekali siasa tu.
kwa mtanzania yoyote yule tunapenda kuishi kwa amani na mwafaka ni mhimu sana kwetu...lakini huu mwafaka wa madiwani wa CHADEMA na CCM una-maswali mengi kuliko majibu na wewe unapoleta hoja zako acha siasa za chuki....
 
Kuna dcm imechukua abiria wa krediii inawapeleka mirongo 4 imefka maeneo ya JR vjana wakaz wakaanza kuirushia mawe wakaiimbiza na vford kufka karbu na fd force wakapgwa mabomu mbaya kabsa
Hapo Jr napo hapo salama hata jana usiku nilipita hapo ilikuwa ni purukushani...
 
Mkuu, Arusha ni zaidi ya Limpopo...Mabomu kwa taarifa za wana jamvi hapa hata mida hii yana pigwa...na mimi mida ya saa nnenimeshuudia NMC na Mbauda...
 

... yanayotekelezwa leo hii dhidi ya Arusha hayana tofauti sana na kile kilichowakimbiza wafanya biashara wakubwa Moshi mjini mwaka 2000. Hata bwana mkubwa flani enzi hizo akiwa PM alisikika akiwaasa wafanyabiashara ... waegemee wamagamba ili biashara zao zisalimike. Baadae alikanusha hayo lakini ukweli ndo huo.
Kama ilivyokuwa Moshi enzi zile, aftermath of Mrema-impact, Arusha nako mambo yako juu, na ni patamu kwani kuna EL-impact na CDM-impact. Marehemu seth Benjamin si mnamkumbuka? Mmojawapo wa mashahidi wa Azimio la Arusha .... Azimio lile la Arusha!
Safari hii Arusha tena kwa aina tofauti ya ukombozi......dhidi ya ukoloni wa Wanamagamba.
Mapinduzi si lelemama. Waache wasusie tu, habari iko pale pale.
 
Mianzini saa 9 hii kumegeuka Kosovo tena kwa mirindimo ya mabomu ya machozi
Safi sana...niliongea na maderva furani asubuhi wakaniambia mgomo wa safari hii...mpaka kieleweke....ila nasikia manispaa wana pima sehemu ya vitu hivi sasa pengine kesho patakuwa shwari.....
 
kuna tetesi kwamba kuna maandamano ya vijana wa chadema mjini arusha na polisi wanapiga mabomu ya machozi kuwanyamazisha mwenye taarifa zaidi naomba utujuze zaidi

Chadema acheni watu wafanye kazi. Mumeingia vyuoni, sasa mtaani baada ya hapo ni kwenye familia, baba,mama na watoto itakuwa vurugu tupu. Hebu acheni watu wafanye kazi. Acheni kutumia umasikini na ujinga wa watanzania kwa faida za kisiasa. Wasaidieni kupata maendeleo siyo kufanya vurugu.
 
Acha kuwaza kwa kutumia makalio mkuu....chadema wana husika vipi kwa hili...
 
CCm kwa kipindi kirefu sana cha miaka hamsini walitumia mbinu hizo hapo juu unazozisema ,sasa hivi wananchi hawahitaji chama kudai haki zao na kila siku pasipo haki watu watadai haki zao kwa njia zozote zile na hata siku moja mahala popote duniani umma haujawahi kushindwa kinachatakiwa ni jeshi la polisi kukoma mara moja kugombana na wananchi wa wache watumie njia za amani kupeleka kilio chao
 
Jamani kuna tetesi kuwa vurugu za mgomo wa daladala za Arusha maarufu kama (vifodi) yamechukua sura mpya baada ya kuwepo tetesi kuwa kuna polisi wa usalama barabarani ameuwa maeneo ya sanawari na vurugu ni kubwa sana nitawajuza ki undani naendelea kufuatilia kwa ukaribu zaidi
 

Mjomba nilisoma Ars miaka ya nyuma, juzi nilikuwa huko for 10days, nikawa nawatembelea watu wangu wa mtaani kabisa, usijidanganye Ars daima haitapiga magoti, sahau!
 
hapo patamu..
 

Hii ni habari mbaya lakini si kitu cha ajabu tena siku hizi

Nadhani mafunzo wanayopata mapolisi siku hizi wakienda ccp ni namna ya kuua raia tu, hakuna kingine.

Sijui madereva wa vifodi wakimaliza mgomo na wao wakaamua kulipiza kisasi kwa kuwagonga hao matrafiki itakuwaje.
 
Acha kuwaza kwa kutumia makalio mkuu....chadema wana husika vipi kwa hili...
Hapo ndipo huwa naona baadhi ya wafuasi wa Chadema wanaendeshwa kwa hisia na wala siyo akili. Na wewe kwa akili yako hiyo unafikiri unaweza kuisaidia Chadema? Kichwani patupu kabisa. Wewe ni Chadema bila kujali kitu chochote. Tumia busara kidogo kusoma na kujibu thread za humu, na siyo lazima ujibu kila thread.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…