DalaDala Hiace

DalaDala Hiace

killo

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2008
Posts
401
Reaction score
97
Jamani hebu nisaidieni...

Mwenzenu leo asubuhi wakati niko njiani nikaona hii gari ikiwa mbele yangu, niliipenda jinsi ilivyo, rangi na graphic zake, lakini kilichonishtua zaidi ni kumuona mtu kama BI KIROBOTO(wa mizengwe) akiwa kama konda wa hii basi, sikukielewa kabisaaaa...!

Mwenye kujua tafadhali hebu nisaidieni, plz check attachement :confused2::confused2::confused2:
 

Attachments

  • 26052010706.jpg
    26052010706.jpg
    260.9 KB · Views: 104
Okay.. labda, lakini ilikuwa haina mziki wowote ule ni kiroboto mwenyewe tu na madoido mara kapanda mara kashuka na alikuwa kavaa jeans, top na kofia ya Kangol-NBA binafsi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom