haWana JF last week nilikuwa natoka job na kusimama na sista du mmoja pale posta kituoni tukisubiri gari ya mbezi ya kimara, ilipokuja watu waligombea kinoma mie mwenyewe ilibidi nikae pembeni ili kunusuru afya, usalama na ustaarabu wangu. Lakini kutahamaki nilimuona yule sister du amepata siti tena ya dirishani, duh niliishiwa nguvu na kushangaa kuona aliwezaje kuingia pale mlangoni angali alionekana very soft and civilized. Ilibidi tu nitembee hadi akiba ili nizunguke na bus. Toka siku hiyo niko radhi hata nikope lakini nihakikishe anytime my car is working. Kweli ukitaka uone usumbufu wa daladala dar subiri siku uharibikiwe na gari.
<br /><font color="#222222">Wana JF last week nilikuwa natoka job na kusimama na sista du mmoja pale posta kituoni tukisubiri gari ya mbezi ya kimara, ilipokuja watu waligombea kinoma mie mwenyewe ilibidi nikae pembeni ili kunusuru afya, usalama na ustaarabu wangu. Lakini kutahamaki nilimuona yule sister du amepata siti tena ya dirishani, duh niliishiwa nguvu na kushangaa kuona aliwezaje kuingia pale mlangoni angali alionekana very soft and civilized. Ilibidi tu nitembee hadi akiba ili nizunguke na bus. Toka siku hiyo niko radhi hata nikope lakini nihakikishe anytime my car is working. Kweli ukitaka uone usumbufu wa daladala dar subiri siku uharibikiwe na gari.</font>
unatokea dom nini ( matonya)tunashukuru kufahamu kuwa na wewe una gari lako,, hivi ni aina gani vile
kama umeona hiyo adha siku mafuta yakishuka bei usinyime lifti mtu yeyote
<br />Nyie ndio mnatuongezea folen sis tunaotumia public car. Utakuta familia ina watoto wa3 wote wana magar na yote yanatoka. Mnanikera. Mnatuongezea folen.
we inaonekana sharobaroWana JF last week nilikuwa natoka job na kusimama na sista du mmoja pale posta kituoni tukisubiri gari ya mbezi ya kimara, ilipokuja watu waligombea kinoma mie mwenyewe ilibidi nikae pembeni ili kunusuru afya, usalama na ustaarabu wangu. Lakini kutahamaki nilimuona yule sister du amepata siti tena ya dirishani, duh niliishiwa nguvu na kushangaa kuona aliwezaje kuingia pale mlangoni angali alionekana very soft and civilized. Ilibidi tu nitembee hadi akiba ili nizunguke na bus. Toka siku hiyo niko radhi hata nikope lakini nihakikishe anytime my car is working. Kweli ukitaka uone usumbufu wa daladala dar subiri siku uharibikiwe na gari.
Mmewasahau wale kina mama gari likisimama tu wanakuwa tayari mlangoni kwa dreva na kumshusha haraka waingilie pale ukienda mwanamme wanakucheka.Mimi nimeshawahi kugombania mlango mara kadhaa lakini cha ajabu mpaka naingia ndani nikiwa kama mtu wa 3 au 4 hivi nakuta viti vyote vimejaa tena wadada na wamama wa makamo waingilia dirishani zamaaani wamekaa utadhani walikuwepo tangu jana humo ndani ya gari.
<br /><font color="#222222">Wana JF last week nilikuwa natoka job na kusimama na sista du mmoja pale posta kituoni tukisubiri gari ya mbezi ya kimara, ilipokuja watu waligombea kinoma mie mwenyewe ilibidi nikae pembeni ili kunusuru afya, usalama na ustaarabu wangu. Lakini kutahamaki nilimuona yule sister du amepata siti tena ya dirishani, duh niliishiwa nguvu na kushangaa kuona aliwezaje kuingia pale mlangoni angali alionekana very soft and civilized. Ilibidi tu nitembee hadi akiba ili nizunguke na bus. Toka siku hiyo niko radhi hata nikope lakini nihakikishe anytime my car is working. Kweli ukitaka uone usumbufu wa daladala dar subiri siku uharibikiwe na gari.</font>
aine mambo umeadimika siku hizi.Nilidhani ni mbagala pekee kwenye adha ya kupitia dirishani!!!
tunashukuru kufahamu kuwa na wewe una gari lako,, hivi ni aina gani vile
kama umeona hiyo adha siku mafuta yakishuka bei usinyime lifti mtu yeyote
<br />unatokea dom nini ( matonya)