Dodoma ni mji ambao mpaka leo umejaa daladala aina ya HIACE.Usafiri huu kwa Dodoma umepitwa na wakatiki.Na huwaletea adha wananchi, kwani hujaza watu wengi na hivyo kuhatarisha maisha ya watu.Wakati sasa umefika wa kutumia basi COSTA kama daladala mjini Dodoma. Hasa ktk ruti zenye watu wengi kama MJINI-NZUGUNI,MJINI-MKONZE nk.Mamlaka husika kama EWURA wajiongeze.Wasisubiri mpaka kuambiwa wakati ni wajibu wao wa kisheria kuchukua maamuzi hayo.