Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Ndiyo maana nchi za wenzetu wanaendelea kwa kasi...hebu angalia mtoto amekuwa motivated ili awe doctor hapa kwetu du!..aibu labda JK anisaidie
Hilo darasa linaonekana liko more practical na ni zuri kwa mwanafunzi kifupi huwezi kuwa na wataalam Kama hujakuwa na mazingira mazuri ya kujifunzia.Huyo unayetaka akusaidie yeye mwenyewe anahitaji msaada!!!
Hilo darasa linaonekana liko more practical na ni zuri kwa mwanafunzi kifupi huwezi kuwa na wataalam Kama hujakuwa na mazingira mazuri ya kujifunzia.
Ndiyo maana nchi za wenzetu wanaendelea kwa kasi...hebu angalia mtoto amekuwa motivated ili awe doctor hapa kwetu du!..aibu labda JK anisaidie
Ndiyo maana nchi za wenzetu wanaendelea kwa kasi...hebu angalia mtoto amekuwa motivated ili awe doctor hapa kwetu du!..aibu labda JK anisaidie
Ndiyo maana nchi za wenzetu wanaendelea kwa kasi...hebu angalia mtoto amekuwa motivated ili awe doctor hapa kwetu du!..aibu labda JK anisaidie
Wakioza meno ndiyo watakuwa na tabia za utafutaji kama watu wa Kilimanjaro. TeheteheteheteeeeHapa kwetu anawagai pipi.....
Wakati watoto wa wenzetu wakiandaliwa kuchukua nafasi angali wadogo na sisi hatuko nyuma sana....
Ni kweli mkuu, hatukamatikiasikwambie mtu bwana, sisi hatushikiki katika ngoma!!!!!!!!!!!!!!!.