Habari Wanajamvi!
Daktari wa magonjwa ya wanaume anaitwaje, na ninaweza kumpata/kuwapata hospitali zipi hapa Dar es salaam! Ni swali nililoulizwa na rafiki yangu, nami sikuwa na majibu ya kuridhisha kwani sina utaalamu zaidi juu ya hilo!
Karibuni kwa yeyote anayejua tuweze kumsaidia rafiki yangu!!
Nawasilisha!!!