Daktari Pekee wa upasuaji wa watoto wachanga Muhimbili aondoka

swali la msingi ni kwanini utawala wa CCM umefanya kuwe na daktari mpasuaji wa watoto mmoja tu.. hii peke yake ni kashfa. Kashfa haiko kwenye yeye kwenda sehemu nyingine Tanzania kwani huko anakokwenda bado atahudumia Watanzania. Miye tatizo langu ni kwanini yupo mmoja...labda tuwaulize madaktari kwanini hawajaingia kwenye eneo hilo kwa wingi..? ( I think I have some ideas...)

what idea?
 
swali la msingi ni kwanini utawala wa CCM umefanya kuwe na daktari mpasuaji wa watoto mmoja tu.. hii peke yake ni kashfa. Kashfa haiko kwenye yeye kwenda sehemu nyingine Tanzania kwani huko anakokwenda bado atahudumia Watanzania. Miye tatizo langu ni kwanini yupo mmoja...labda tuwaulize madaktari kwanini hawajaingia kwenye eneo hilo kwa wingi..? ( I think I have some ideas...)

what are those ideas?
 
....[/QUOTE]

Unaleta mashaka na Drs walio funzwa pale pale Muhimbili na kwa kiwango kikubwa, najua ninachokiongea na usifikiri Muhimbili siijui, na tatizo hujui unamjibu nani, ndo shida yako hiyo!
 
Wa Tz hatuna shida na madakitari , kwani hata jk nae si dr, dr ,dr au nimechanganya mambo naomba mnijuze.

NInafurahi kuona michango mingi yenye kuwa na mitizamo kinzani kwenye JF ambayo ni chakula kizuri cha fikra. Lakini tusije ondoka humu jamvini bila kupata michango ya ukweli na ya hekima.
Jamani wanajamii tukubali au tukatae, lakini ukweli upo dhahiri kuwa kazi zote ni muhimu lakini kuna kazi ambayo ni muhimu zaidi.UDAKTARI ni kazi muhimu zaidi kwa vigezo vifuatavyo;
1. ni masomo magumu zaidi
2. masomo yanachukua muda mwingi zaidi
3.ni kazi ngumu zaidi na hatari zaidi ambayo inamwathiri mtoa huduma kiafya na kisaikologia sana
4.ni kazi inayohitaji kufikiri na kutenda pamoja na kuendelea kusoma zaidi
5.ni kazi ambayo haina njoo kesho ni ya kutenda wakati wowote na muda wowote kunusuru maisha
6. ni kazi ya wito zaidi isiyokuwa na kipato kinachoendana na kuenyeka kunakofanywa hata kama wanasema kuwa kipato wanachopewa madakktari kinatosha ?
7. Ni kazi inayoheshimiwa pote duniani isipokuwa Tanzania tu
Ukitaka kujifunza ugumu na kazi yenyewe inavyotisha nenda kwa utambulisho tu kwenye YOUTUBE anagalia lecture ya Anatomy for Beginners
Kwaa hiyo ndugu zangu tusiwaonee wivu madakatari kazi yao ni kubwa na tunapashwa kuwaenzi sio kuwakejeli eti hasiyetaka kuendelea na unyanyaso akalale mbele

Hata hao viongozi wetu wanaokejeli madaktari wetu wanapokwenda India kupewa tiba wananyenyekea ,tena kwa gharama kubwa sana. Sasa kama wanaona madaktari hawana umuhimu kwa nini wasiishie kwa mzee wa Loliondo
 
Mkuu ipo appolo shida nini na mngoongoooloooooeeeeeeeeee???????????ukifika muda pitisha mchango tupeleke huko india mpwa
 
Our leaders after they have killed the health sector, are now ready to die peaceful abroad in the hands of white women.
Nonsense!!
 
Mi nawashangaa sana watu humu!

Mlitaka rais akubali kulipa mishahara ya milioni 3.5 kwa hawa madaktari wapya? halafu hao mabingwa tuwape milioni 15?

Aisee kama ndio mishahara ambayo italipwa na Chadema hiyo basi tuwa fast track Ikulu maana na mimi naweza kulipwa milioni 20 wakati huo (Sarcastic)
 
-Neurosurgeons(4),

-Orthopeadic surgeons(15),
-Pediatricians(28),

-ObGynaecologists(35),

-Physicians(60) regardless of subspeciality ie Neurolgist, Gastroenterologist,etc.
-Psychiatrist(30)-not psychologist,
-Surgeons (40)-regardless of subspecialty like Cardiothoracic, Plastic surgeons, Pediatric Surgeon etc,

-Otorhinolaryngologist(15),

- Anaesthiologist 25(not anaeshetist),
-Opthamologist 30(not optician,optometrist)....NCHI NZIMA.

so kwa takwimu hizo W/Afya anasema wanatosha!!!

takwimu za uongo!!!!!!!!!!!pengine u daktari,lakin huo ni uongo mtupu,we have more specialista than what u mentioned,b kin!!!!!!hata wahuni cku hiz ni maspecialist.
 
daktari huyo anaitwa nani?
ni kweli kuwa yuko peke yake mwenye ujuzi huo?
vipi kina dr Swai, fataki,Massawe,Namala nk hawana huo ujuzi?

kuitwa fundi haimaanishi kuwa wewe ni fundi wa kila kitu,jifunze kufikiri kabla ya kuongea au kiposti kitu sawa?
 
hivi umewaza kuwa nlichoandika ni swali kutaka kujua?
sasa mtu anaetaka kujua hana jibu ndio maana kauliza
au wewe kwa upeo wako umeona nimesema wanafanya upasuaji?
ulipaswa kufikiri kwanza kuelewa namaanisha nini ndio ukurupuke kukosoa sawa?

kuitwa fundi haimaanishi kuwa wewe ni fundi wa kila kitu,jifunze kufikiri kabla ya kuongea au kiposti kitu sawa?
 
yule mama wa tumaini amestaafu mwaka huu, kwa ss mnh haina daktari bingwa wa upasuaji wa watoto. Liwalo na liwe!

mbona wapo akina dr. Sayi, prof. Caneiro na vijana wengine,ila kiukweli hili nipigo pia kwani madaktari hawatoshi kabisa,,sasa mtu kama huyo kumuachia akilipwe private maana yake na gharama za huduma huko alikoenda zitapanda pia, nasisi walala hoi hatuwezi kumudu....vote for change 2015-tii kiu yako
 
-Neurosurgeons(4),

-Orthopeadic surgeons(15),
-Pediatricians(28),

-ObGynaecologists(35),

-Physicians(60) regardless of subspeciality ie Neurolgist, Gastroenterologist,etc.
-Psychiatrist(30)-not psychologist,
-Surgeons (40)-regardless of subspecialty like Cardiothoracic, Plastic surgeons, Pediatric Surgeon etc,

-Otorhinolaryngologist(15),

- Anaesthiologist 25(not anaeshetist),
-Opthamologist 30(not optician,optometrist)....NCHI NZIMA.

so kwa takwimu hizo W/Afya anasema wanatosha!!!
Hizi Takwimu umezitoa wapi na ni za mwaka gani?
 
Katika kuonyesha kuitika mwito wa Rais kikwete aliyetangaza kuwa Madaktari wasioridhika na malipo kiduchu na mazingira mabaya wanayofanyia kazi hapa nchini waondoke, Daktari pekee bingwa wa upasuaji wa vitoto vichanga (paediatric surgeon) ameondoka muhimbili na kuhamia hospitali moja ya binafsi mikoa ya kaskazini.


Hili ni pigo kubwa sana kwa watoto wachanga na sisi wazazi. Sasa mtoto akiwa na tatizo la upasuaji sasa hana tumaini tena la kuishi maana daktari huyu alikuwa anawafanyaia upasuaji watoto wote kutoka nchi nzima.

Ubinafsi huu wa wanasiasa kujineemesha huku wakitukana na kuadharau wataalamu utatumaliza.

Imagine mwanao anazaliwa bila njia ya haja kubwa halafu anakosa kufanyiwa upasuaji wa kuifungua! Mungu atusaidie!
Hivi aliyekuambia mgo'ng'o ndiye Pediatric surgeon Pekee ni nani?Ninamtakia kila la kheri kwani bado ni Tanzania hiyo hiyo na Pili alifungua Hospitali Yake na ilimshinda na huko akishindwa milango ipo wazi arudi serikali itampokea tu bora uamuzi aliouchukua kuliko kugoma.
 
Back
Top Bottom