Daktari: Koo la Ommy Dimpoz linaendelea kutoa usaha

Akili ya watanzania jamani, ndo wonder we are, the way we are, alafu tuko buzy kutafuta mchawi nani, wakati tunajiroga wenyewe. Hiyo sumu inayozungumziwa sio kwamba alipewa na mtu aliinywa kwenye kinywaji inawezekani alichanganya au alikunywa kinywaji ambacho kilimzuru kama aleji vile, sasa watu kusikia tu neno sumu loooh, hell break loose. khaaaaaaaaaa,ngachoka
Mie bado najiuliza hii sumu haijaathiri mfumo wa chakula kwa ujumla?
Ni kwenye koo tu?

Kwanini alimwacha akapata hilo tatizo wakati alikua na uwezo wakulizuia?
Mimi naona mnampa sifa za bure tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh inaonekana huamini katika ukuu wa Mungu wewe
sio kosa inategemea na imani yako tu, kuna wengine tunaamini asilimia zaidi ya 100 Mungu anaweza yote.
Mungu akutunze
 
Write your reply...huyo doctor hajitambui,kwanza hajui ilikuwa ni acid ama alkaline ina maana hajui hata kutofautisha sifa za hizi chemicali,halafu kwani liadhirike koo ambalo hupitisha kinywaji kwa sekunde chache na sio tumboni ambako kinywaji kinakaa?,hiyo alkalini ya kukwangua koo na kuleta usaha basi sio ya dunia hii kama mnywaji hakustuka wakati anakuja.mi nadhani chanzo cha tatizo silo alilosema doctor
 
Huwezi juwa kama ni witch doctor wa kizulu
 
Daktari wa Ommy Dimpoz amesema koo la Ommy Dimpoz bado linaendelea kutoa usaha tofauti na ilivyotegemewa. Siku ya leo Ommy Dimpoz alikwenda hospitali kwa ajili ya kutoa mrija aliowekewa lakini baada ya kumchunguza Daktari amekuta bado anatoa usaha hivyo watasubiri mpaka wiki ijayo ili wamtazamie zaidi

Awali ilikuwa kama angetolewa mrija leo basi angeruhusiwa kuondoka South Africa.

Aidha Daktari huyo ameeleza kuwa Ommy Dimpoz alikunywa kinywaji chenye sumu na sumu hiyo inaweza kuwa Alkaline au Acid

Sent using Jamii Forums mobile app
Allah atamuafu

Vinywaji vya kugongea na ofa ni hatari sana

Jr
 
Back
Top Bottom