Daktari jijini Mwanza afia gesti jijini Dar

Aisee vifo vingine bana,,,tu muombe M/Mungu mwisho mwema kwa kweli.
 
Hapo wangekuwa watalaamu wa ikweli.. Wangeanza na hiyo sceen..hizo syringe na hiyo damu ingepelekwa maabara na watu wa forensic investigation wangepiga kazi ... Lkn kibongo bongo hapo ndo basi tena... Unaona na hapa kwenye jukwaa watu walivyoconclude... Km mtu kapewa iv propofol mnajuaje...wabongo tuache ujuaji
 
Dengue haiusiki.., kitaalam tunaita drug overdose..
Umejiaje drug overdose... Kama kachomwa sumu kwa ajili ya kuuliwa unajuaje..kama kachomwa concetrated potasium au propofol unajuaje mkuu..!?
 
Hawa ma-doctor wanakula sana dawa za kuongeza nguvu za kiume!zinapowazidi uwezo ndo matokeo yake hayo. R.I.P doctor!
Kama kachomwa sindano ya sumu mtu akasepa unajuaje..!?
 
:A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::rip::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose:😛ray2:😛ray2::amen:
 

asee sembe inaliwa kila mahali wale wenye dhamana ya kuwatibu mateja wao ndo wanapiga bwibwi loh
 

asee sembe inaliwa kila mahali wale wenye dhamana ya kuwatibu mateja wao ndo wanapiga bwibwi loh
 
Labda alipata dililakubeba akasema ajaribukuona madhara yake nahisi ame/wamemchoma akajioverdose

Rip kamanda Ray
 
Umejiaje drug overdose... Kama kachomwa sumu kwa ajili ya kuuliwa unajuaje..kama kachomwa concetrated potasium au propofol unajuaje mkuu..!?

Tatizo lipo kwa ndugu zake.Walikataa uchunguzi na kutaka marehemu wao.At least kwa mujibu wa source
 
dah nguvu kazi ya taifa inapotea bure unasomesha mtoto mpaka anagraduate sembe linapita nae so sad rip dr
 
Badala ya kula 'jani' yeye akala sembee, sasa yamemkuta.....
 
Swala la uchunguzi halipaswi kuwa maamuzi ya ndugu bali jamhuri........
 
Kama ni BIRD NEST HOTEL, nimetoka juzi yake. Ilibaki kidogo ningekuwa shuhuda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…