Daktari huyu alitaka kunibaka?

Kushikwa shingo tu una maindi ungekutana na mimi mkono wa kushoto naingiza kwenye nyonyo wa kulia kiunoni ingekuaje
 
Hao wapendwa uliowakutana nao wewe ni wapendwa wa mabox. Hujakutana na wakina Setfree😄
Huyu ni mlokole wa kwenye keyboard.. kwenye maisha ya uhalisia utakuta hata wanzuki na ulanzi kanakunywa...
Sihitaji hata kukutana nae, wapendwa nawajua tabia zao kama zote huwezi nidanganya...
umbea, kusengenyana, kulana kimasihara ndio zao, nawajua vyema sana, sana...
 
We mnyalukolo unaonekana umejaa mizimu ya kalenga,kwa hiyo unataka kusema kwamba Setfree pamoja na vifungu vyote hivi anapretend?. Kwa akili zako unadhani anaandika haya kwa lengo gani?
 
Nilifurahi kuona chumba chake kina vifaa vya kisasa vya upimaji wa macho kama vile Penlight, Slit Lamp (Biomicroscope), Tonometer, Fundus Camera...
Ulivijuaje hivi vifaa?

Nahisi ww ni mdau wa hiyo field ila hapo nyege tu ndio zimekupeleka kuanzisha huu Uzi.
 
Acha fallacy generalisation. Unaamini sana kwenye hisia zako na ukishaamini hutaki mawazo mbadala. Kichwa chako ndio Serikali yako!
Mara nyingi mnaongea vitu ambavyo sio realistic na mimi napenda kuzungumza vitu realistic, ili kumaliza hamu za kimwili lazima ufanye uchakataji kama ni mwanamke achakatwe vilivyo.. huu upuuzi wa kudanganyana kuna maombi sijui upako ni ujinga...

Ndio maana nasema kwa nyie mliokoka fungeni ndoa la sivyo kuchakatana pako pale pale...
 
Kidogo mizimu imeanza kukutoka. Kumpata mchakaji/mchakatwaji haiondoi muhimu wa self control,chukulia mfano mchakataji/mchakatwaji yupo mbali kikazi au kimasomo kwa muda wa miezi au miaka kadhaa,hapo mchakatano sio kinga bali self control.
 
Acha umalaya
 
Acha ukorofi, daktari lazima awe karibu na mteja wake na aoneshe upendo kwa kumfariji ili apate nafuu haraka.
 
Hata mie baada ya kusoma meona "macho yako hayana shida!"
 
Yusufu alikimbia kwa sababu aliona dalili za waziwazi. Mimi sihitaji kukimbia. Yesu anasema mpingeni shetani naye atawakimbia. Anayepaswa kukimbia ni shetani(Yak 4:7-10).
Huo ni ubishi wa kilokole boss, zinaa imewekwa kwenye level tofauti, Umeelekezwa ukimbie zinaa sio ukemee. Huko kwenye makanisa na kwaya mimba, bikra zinatolewa kabla ya ndoa sababu ya ubishi wa aina hii. Baadae ni kutubu kwa vilio na kunena kwa lugha ila ndo tayari.

1kor 6:18
Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…