Usiku wa kuamkia jana wanachuo wa Taasisi ya Afya cha Bulongwa Hospitali (Maarufu kama chuo cha Dental na Nursing) wamemvamia, kumpiga, kumjeruhi na hatimaye kumuua daktari wa hospitali ya Bulongwa Dr. Jumbe Maphingo.
Sababu bado haijajulikana
Innà lillàhi wa-inna ilayhi raajiuun! Allah Amweke mahali pema
Kuna jambo kubwa...si bure! Hiyo hatua ni ya juu sana!...May justice take the over!
Usiku wa kuamkia jana wanachuo wa Taasisi ya Afya cha Bulongwa Hospitali (Maarufu kama chuo cha Dental na Nursing) wamemvamia, kumpiga, kumjeruhi na hatimaye kumuua daktari wa hospitali ya Bulongwa Dr. Jumbe Maphingo.
Sababu bado haijajulikana
Innà lillàhi wa-inna ilayhi raajiuun! Allah Amweke mahali pema
Jamani wenye taarifa yachanzo cha kupigwa mpaka kufa mtujuze...mie mtu wangu wa karibu na familia ya marehemu anasema hata wao hawajui chanzo cha kuuwawa kwa ndugu yao kozi last week alitoka kumzika mama yake mzazi afu doctor mwenyewe yupo ktk mradi wa USAID...
R.I.P
Ndo hivyo ndugu yangu,lakn kuna watu wameagizwa wakafanye hiyo kazi ya upekuzi..soon wataweka kila kitu mezani,lakn bado ndg yetu ndo amekwisha ondoka na harudi tena hata kama kila kitu kikiwekwa mezani...Ukweli nimeumia sana.
Mwenyezi Mungu nijaalie uvumilivu inshl
ERATA: dr maphingo ni wa muhimbiri na siyo hapo kwenye chuo na nurse+dentist, alikuwa iringa kwa utafiti juu ya HIV/AIDS chini ya USAID. RIP.
Kwa taarifa nilizo nazo ni kuwa Doctor alikuwa Tanga, akapigiwa simu na wanafunzi wa icho chuo kuwa wanamuitaji. Baada ya yeye kufika uko ndio wakamvamia na kumpiga Panga la kichwa na kusababisha kupasuka kwa kichwa na kupelekea mauti yake.