Daktari aliyesoma CBG

Rafiki angu darasani enzi hizo; alikua 'mkali', na alipata masomo yote A. Akachagua HGL. Mie nikachagua PCB japo sikupata hata nusu ya A. Naamini TCU wangetupanga nae kusomea udaktari; angekua my teacher.
Kuna watu wana uwezo tofauti tofauti; wasihukumiwe kwa historical first choice zao! Lakini pia kuna watu wasio na uwezo kukabili mambo tofauti: hao huchujwa katika mafunzo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Pumbafu O-level mbona tumesoma hayo makitu!
 
wewe nadhani hujui hayo masomo yakoje.... mtu wa PCB huwa Physics sio muhimu saaaaaan,hivyo muhimu kwake in CB, vile vile mtu wa PCM zaidi yuko na PM, Chemistry sio sana maana hayawasaidi saaana mbelieni, nadhani kama mtu anasoma CBG ni sawa tu na wa PCB, maana wote wanasoma Chemistry na Biology ambayo ndio muhumu sana wakati masomo yao ya UDr!
 
Ndio maana tunaposema mfumo wa elimu yetu usukwe upya kuna watu hawatuelewei. Mtoa mada anawakilisha moja ya waathirika na mfumo wa kukaririshana, yaania anaamini ili usomee medicine ni lazima usome udaktari. Sina uahkika kama ameshayasoma masomo ya medicine kisawasawa, kama ni kweli angegundua kwamba yale aliyofundishwa A'level katika Physics ni machache sana atakayoyahusisha na elimu ya medicine.
Labda pawepo na mwalimu mwendawazimu atakayewaambia hiki sitawafundisha kwa kuwa mmesoma A'Level kwenye physics.
 
mkuu ukisikia medicine ndio udaktari wenyewe,sio kitu tofauti(inaitwa doctor of medicine aka MD)
NB usitafsiri medicine kwa maana ya madawa.
kama sijakuelewa kwenye bold nieleweshe.
 


There you go, point well taken. Tatizo la hapa Bongo tunapenda sana kulazimisha vitu na kufanya upuuzi kuwa muhimu. Mfumo wa elimu hapa Bongo inabidi ubadilishwe. Waziri wa elimu hupooooooo?
 
yaania anaamini ili usomee medicine ni lazima usome udaktari

Mkuu Tutaweza ukisikia medicine ndio udaktari wenyewe,sio kitu tofauti(inaitwa doctor of medicine aka MD)
NB usitafsiri medicine kwa maana ya madawa.
kama sijakuelewa kwenye bold nieleweshe.
 
mkuu ukisikia medicine ndio udaktari wenyewe,sio kitu tofauti(inaitwa doctor of medicine aka MD)
NB usitafsiri medicine kwa maana ya madawa.
kama sijakuelewa kwenye bold nieleweshe.

Yaani wewe ndio hujanielewa, nimemaanisha udaktari na sio madawa. Madawa ni pharmacy. Hizi ni lugha zinazotumika na wanafunzi (ukisema nitasoma medicine=udaktari).
Kwenye bold, nimemaanisha kila kitu kinachopaswa kifundishwe kwa mwanafunzi wa medicine inatakiwa kifundishwe bila kujali umeshasoma A'Level au vipi. Aliyesoma kwenye Physics itamsaidia kuelewa kwa haraka ila mwisho wa siku wote wataelewa.
 

gud comment.
 
thanks for ua execellent explanations
 
Hapo kinachooangaliwa ni masomo mawili yaani cb kaka p na g hazina kazi kwenye udaktari hata mimi nasoma medicine degree na nilisoma CBG nilifaulu C na B kaka g nilipata s so usihofu ni kwamba hujui ndo maaana unauliza
 
Na sasa hivi kuna watoto wengi wanakimbilia CBG ili wawe madaktari..sasa PCB haina maana tena? Waitoe basi maana kuna kashortcut saivi cha kuwa daktari..noble profession!
 
walilikalilishwa tokea utotoni na babu PCB ndio Dokta.
Ushangai kuhusu hadithi zote ni sungura na fisi akitajwa NYANI hiyo sio hadithi tena.
 
Soma kwa bidii ufaulu vizuri kuliko huyo wa cbg. Unaweza kuta mtu analalamika kushindanishwa na mtu wa CBG akidai masomo ya PCB magumu kumbe hata hiyo chemistry na biology kafeli kuliko mtu wa CBG? pambana na shule usilalamike.
 
Soma kwa bidii ufaulu vizuri kuliko huyo wa cbg. Unaweza kuta mtu analalamika kushindanishwa na mtu wa CBG akidai masomo ya PCB magumu kumbe hata hiyo chemistry na biology kafeli kuliko mtu wa CBG? pambana na shule usilalamike.

Physics inawaconsume sana kwahiyo hawa na Muda Sawa wa Kusoma chemistry na biology kama wa CBG!
 
Let's expect a wave of very weak and fake doctors in 2years to come..
 
Acha ushamba na ujinga. Vyuo vipi kufundisha madaktari sio kupitisha madaktari. Kama chuo kinafanya kazi ya kufundisha kwa ufasaha hata mtu wa HGL anaweza kusoma udaktari.


Nimeipenda hii japo sina sana uhakika wa ulichokisema. Any way hata mie nimewaona watu wakisoma LLB {LAW} wakati wamesoma PCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…