Mkalimani wa lugha za alama na lugha zisizo rasmi nimewafikia.
Mkalimani :
Anaposema "endeleeni kuleta mapoda nyinyi wadada" hapo amechevusha na kuchechefua Neno Mapozi au Maringo na kulipeleka kwenye Neno mapoda Sawa Sawa aseme "endeleeni kuleta Maringo nyinyi wadada"
Ni MIMI wako Mtaalamu & Mkalimani wa lugha za alama na lugha zisizo rasmi
Lethergo