Dakika moja tu....maliza basi

Dakika moja tu....maliza basi

Kumbe unampanda ndio maana anachoka nikajua hua mnafanya mapenzi... pole.
 
Hupendwi hapo jiongeze.... Wanawake tuna hila sana
 
Huyu mpenzi wangu wa kike miaka 28 sijui huwa ana tatizo gani....nikiwa naye faragha yaani dakika moja haiishi

Nikianza kumuandaa kama dakika 6 huhitaji nimpande....nikisha mpanda dakika 2 hazifiki...utasikia kelele za mshindo...akisha maliza hunitaka nami nimalize haraka

Round ya pili hivyo hivyo....siku nyingine naweza kumuandaa kama dakika 10 nashitukia anamaliza na hapo hudai amechoka

Nikimuuliza kwa nini uko hivyo....anadai anajiona yupo sawa

Tatizo ni nini?
iyo miaka 28 ni ya mahusiano yenu au miaka aliyonayo yeye?????
 
Huyu mpenzi wangu wa kike miaka 28 sijui huwa ana tatizo gani....nikiwa naye faragha yaani dakika moja haiishi

Nikianza kumuandaa kama dakika 6 huhitaji nimpande....nikisha mpanda dakika 2 hazifiki...utasikia kelele za mshindo...akisha maliza hunitaka nami nimalize haraka

Round ya pili hivyo hivyo....siku nyingine naweza kumuandaa kama dakika 10 nashitukia anamaliza na hapo hudai amechoka

Nikimuuliza kwa nini uko hivyo....anadai anajiona yupo sawa

Tatizo ni nini?
Huyu ndio mwanamke wa kuoa sasa,
then unamfundisha kidogo kidogo mpaka mnaenda sawa.
 
Umezoea kupiga machangudoa na ma bar meid .....na mangurumbembe bange......

achokaye mapema ndio mke
 
Back
Top Bottom