Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,428
Mkuu,kwani lisu alisema hatapanda?Chadema: Magufuli ameleta maendeleo ya vitu siyo watu.View attachment 1593386View attachment 1593387
Alafu wanapanda!!
Kazi ya kutaka Magufuli ahojiwe si yetuHii mihemko huwa ndio siipendagi, Lissu alihojiwa kwenye hicho kipindi cha dk.45 lakini sidhani kama kuna mtu alitaka pia magufuli ahojiwe.
Sidhani kama wana ubungo watampigia kura kitila mkumbo kisa tu kahojiwa na kipindi cha ITV
Kwani Kitila hakuiona Uhuru FM ?Kwani ni lazima? Huo ni mdaharo? Si mtafute chombo chenu?
ITV ya sasa haifai hata kuangalia ,mimi nimeshahamia kwenye mitandaoKwani Kitila hakuiona Uhuru FM ?
Miradi ya Rais wa Awamu ya Nne Dr Jakaya Mrisho kikwete si ya Magufuli ambayo hata mmoja hujakamilika.Chadema: Magufuli ameleta maendeleo ya vitu siyo watu.View attachment 1593386View attachment 1593387
Alafu wanapanda!!
Hata mwendokasi wamemmilikisha MagufuliMiradi ya Rais wa Awamu ya Nne Dr Jakaya Mrisho kikwete si ya Magufuli ambayo hata mmoja hujakamilika.
Mwaka wa 5 huu
HBD KIKWETE.
Tundu anafurahia maendeleo ya vitu😁😁😁😁😁Chadema: Magufuli ameleta maendeleo ya vitu siyo watu.View attachment 1593386View attachment 1593387
Alafu wanapanda!!
Asingeismimamie Magufuli ingekuepo? Ole wao wanafki na wachonganishi maana hamtairithi nchiMiradi ya Rais wa Awamu ya Nne Dr Jakaya Mrisho kikwete si ya Magufuli ambayo hata mmoja hujakamilika.
Mwaka wa 5 huu
HBD KIKWETE.
Watoa maamuzi ni wananchi wapiga kuraAsingeismimamie Magufuli ingekuepo? Ole wao wanafki na wachonganishi maana hamtairithi nchi
Mutuwache na marais wetu
Mama D una mme kweli ww?Asingeismimamie Magufuli ingekuepo? Ole wao wanafki na wachonganishi maana hamtairithi nchi
Mutuwache na marais wetu
Eti "mdaharo"...maCCM sijui yatakaa yajue nini dunia hii....Kwani ni lazima? Huo ni mdaharo? Si mtafute chombo chenu?
Dah.....So ITV ni yenu kama TBC ilivyo yenu?Kwani ni lazima? Huo ni mdaharo? Si mtafute chombo chenu?
Sio mume tuu ila mume anayejua kuwa mumeMama D una mme kweli ww?
Alinunua kipindi kwa mujibu wa wahusika wa itv wanasema hivyoInawezekana Kitila alinunua airtime,kama si hivyo basi Bonifasi yuko kwenye list anasubiri naye kupewa hiz dk45.Kama Kitila alinunua Airtime basi naye Bon itabidi afanye hivyo hivyo