Uchaguzi 2020 Dakika 45 ITV tunaamini baada ya kumhoji Kitila Mkumbo anayefuatia ni Boniface Jacob

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
116,476
215,317
FB_IMG_1602086054801.jpg


Kama mlivyofanya kwa Wagombea wa Urais kwa kuwahoji wote basi bila shaka ndivyo mtakavyofanya kwa wagombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo hasa baada ya kuanza kumhoji Mgombea ubunge wa CCM, Kitila Mkumbo wiki hii ambaye si kiongozi wa CCM.

Tunaamini atakayefuatia wiki ijayo ni Boniface Jacob wa CHADEMA.
 
Inawezekana Kitila alinunua airtime,kama si hivyo basi Bonifasi yuko kwenye list anasubiri naye kupewa hiz dk45.Kama Kitila alinunua Airtime basi naye Bon itabidi afanye hivyo hivyo
 
Hii mihemko huwa ndio siipendagi, Lissu alihojiwa kwenye hicho kipindi cha dk.45 lakini sidhani kama kuna mtu alitaka pia Magufuli ahojiwe.

Sidhani kama wana Ubungo watampigia kura kitila mkumbo kisa tu kahojiwa na kipindi cha ITV
 
Miradi ya Rais wa Awamu ya Nne Dr Jakaya Mrisho kikwete si ya Magufuli ambayo hata mmoja hujakamilika.
Mwaka wa 5 huu

HBD KIKWETE.
Asingeismimamie Magufuli ingekuepo? Ole wao wanafki na wachonganishi maana hamtairithi nchi

Mutuwache na marais wetu
 
Inawezekana Kitila alinunua airtime,kama si hivyo basi Bonifasi yuko kwenye list anasubiri naye kupewa hiz dk45.Kama Kitila alinunua Airtime basi naye Bon itabidi afanye hivyo hivyo
Alinunua kipindi kwa mujibu wa wahusika wa itv wanasema hivyo
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom