Sawa tutamwambia abadirike.Sio suala la kumpa nani,suala ni yeye kubadilika.
Paskali huyu msukuma?Labda Paskali
Bashite anayetumia cheti cha Paul?bashite
Anaitwa Albert MwalalaSifa zinamzidi. Anajua akiegemea kwa watawala atapata kanafasi kama double . Kuna baadhi ya vipindi vya kwenye radio/tv vinatakiwa kupata watu kama masako, muro, kuna yule wa chanel 10 asubuhi jina nimelisahau kidogo, siyo kina kibonde, mahela, pascal, pilipili
Anaitwa Albert Mwalala
Ni selemani semunyu luteni jwtzwapi JUMANNE SEMUNYU
Bora buhohela.alijitahidi sana.Tangu aondoke SEMUNYU hicho kipindi kilipoteza mtu muhimu na aliyekuwa anajua kuuliza maswali kulingana na mgeni wa siku hiyo. Hata Buhohela alipwaya sana...!! SEMUNYU WAS THE BEST...!!
Tafakari...!!
Hili liko wazi kwa sasa Han na mvutoKipindi hiki huwa hewani kila jumatatu baada ya taarifa ya habari mpaka mida ya saa nne usiku.
Kipindi hiki kilipata umaarufu zaidi enzi za mtangazaji mmoja aliyekuwa kwenye timu ya kampeni za Magufuli kipindi kile cha uchaguzi Mkuu wa 2015.
Kwa sasa kipindi kinaongozwa na jamaa mmoja anayeitwa Sam Mahela,kusema ukweli kipindi kwa sasa hakina mvuto.
Maswali anayauliza yeye na maelezo anayatoa yeye,sasa najiuliza kuna haja ya kumuita MTU?
Yaani mara nyingine anaboa mbaya,swali lina maelezo kibao,unafikiri insha.
Anauliza swali,kabla ya kujibiwa anajijibu mwenyewe
Yapaswa abadilike kurudisha heshima ya kipindi.
Kipindi apewe Daud Bashite mwizi wa vyeti
Ngozi nyeusi tumezaliwa na roho mbaya na za kwanini.....ww unapambana na vyeti vya Makonda na haitokusaidia,yeye anapambana na wauza madawa na itatusahidia wote.
Siwezi kuongozwa na mjinga mwizi wa vyeti kupambana na madawa sio kumhalalishe wizi wake wa vyeti atoe vyetiNgozi nyeusi tumezaliwa na roho mbaya na za kwanini.....ww unapambana na vyeti vya Makonda na haitokusaidia,yeye anapambana na wauza madawa na itatusahidia wote.
Kipindi hicho tulishaacha kukitazama siku nyingi.Kipindi hiki huwa hewani kila jumatatu baada ya taarifa ya habari mpaka mida ya saa nne usiku.
Kipindi hiki kilipata umaarufu zaidi enzi za mtangazaji mmoja aliyekuwa kwenye timu ya kampeni za Magufuli kipindi kile cha uchaguzi Mkuu wa 2015.
Kwa sasa kipindi kinaongozwa na jamaa mmoja anayeitwa Sam Mahela,kusema ukweli kipindi kwa sasa hakina mvuto.
Maswali anayauliza yeye na maelezo anayatoa yeye,sasa najiuliza kuna haja ya kumuita MTU?
Yaani mara nyingine anaboa mbaya,swali lina maelezo kibao,unafikiri insha.
Anauliza swali,kabla ya kujibiwa anajijibu mwenyewe
Yapaswa abadilike kurudisha heshima ya kipindi.
, umesema?sam kipindi cha watoto kinakufaa zaidi