Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 903
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na uratibu) Wiliam Lukuvi anasema Serikali aiweza kuona raia wake wanapata matatizo, lazima wafanya haraka kuwasaidia wananchi
huyu katika maongez yake yote ni sharti amanange cdm. Kaz kwel kwel
anaponda chadema kazi nikutafuta mambo ya uongo ili waonekane wakweli
Waziri Lukuvi kasema kweli CDM kazi yao kutunga uongo na porojo kamwambia Dk Slaa apeleke ushahidi wa makaratasi kama yeye anamiliki kitalu
Anasema Dk Slaa kazi yake porojo, Serikali ya CCM kazi yao kuwaletea wananchi maendeleo, sio maandamano
Waziri Lukuvi kasema kweli CDM kazi yao kutunga uongo na porojo kamwambia Dk Slaa apeleke ushahidi wa makaratasi kama yeye anamiliki kitalu
Bi Sophy nawe wakubaliana na Lukuvi?