Huyu bwana alipokuwa Mbeya Secondary alikuwa Head Prefect na alipokwenda Songea Boys alisoma masomo ya HGL alifeli FORM VI kwa KUPATA DIV 0, na aliporudi MBEYA akawa anafundisha ktk shule moja ya Sekondary ya WAHINDI pale Town kwa kutumia vyeti feki. Then yule muhindi shule ikamshinda akamwachia MULOGO akarudi kwao INDIA. From there jamaa ndo akaanza kupata fedha na alipogombea ubunge inasemekana alikuwa anajitambulisha amesoma UDSM Kumbe ndugu yake ndo alisoma UDSM anatumia vyeti vya huyo ndgu yake. Kashfa zilipozidi ndo akatoa record kuwa kasoma OPEN.