Dakika 45 ITV na Philip Mulugo

Mambo ya mwaka (one nineteen sixty four) 1 19 64, ha ha ha ha ha ha ha

teh teh teh teh! Huyo ndo mheshimiwa sana naibu waziri wa wizara nyeti kuliko ata nyeti zenyewe mlugo a.k.a mfugo.
 
Ndo maana elimu inashuka bongo!Mawaziri hawa nao wanachakachua kila mahali.
 
Huyu jamaa bure kabisa, anaposema amewahi kupata sifuri ya sifuri kwenye mtihani , hii maana yake nini ? Elimu ya tanzania imeingiliwa
 
Haaaaaaaaaaa anachanganya swahili na kingereza kweli,jamaa kujielezea kwa kiswazi yupo fit mbaya sema mamba ya power presentaion ndio mtihani kidogo.
 
Philip Mulugo: Form VI Results Songea Boys 1996: Division 0.
 
Mzee wa 11964! Au mzee wa Zimbabwe huwa anachemka sana! Pia amesema aliwahi kupata 0 ya 0 (yaani alikosa maswali yote). Jamani tukubaliane kwamba amechanganya madawa! Big up Semunyu limemchomekea tena ile habari ya Zimbabwe!!
 
Haaaaaaaaa semunyu mchokozi kweli amemuuliza kuhusu zimbabwe mulugo akataka kuchomoa kujibu lol ila amewaambia watu wa JF msiwe mnaandika vitu kwa negative tu haaa kumbe anapitia humu..
 
Reactions: EMT
Huyo ndiye Mulugo halisi.
 
Kasema safari yake ilikuwa na impact kubwa kuliko hata kukosea tu kutaja Zimbabwe ndani ya Muungano. Amesema watu wasipende kuangalia tu negative waangalie pia na positive (hapa aliilenga jf). Safari yake imeleta wawekezaji kwa ajili ya vyuo vya ufundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…