Dakika 45 ITV: Mwigulu Nchemba kufanya mahojiano

Dakika 45 ITV: Mwigulu Nchemba kufanya mahojiano

Acha wivu wa kike mkuu.

Sina wivu wowote ule..
Ila ni 'jadi' kwa 'rais' toka CCM ni lazima apige picha na 'kituko' hiki hapa...!!!!
Source: *FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG* SINCE 2011 ALWAYS THE TRUTH AND THE TRUTH ONLY!

FLORA+HOW+TO+LOOK+SEXY+AT+HOME+2014+069.JPG


FLORA+LYIMO+HOW+TO+LOOK+SEXY+AT+HOME+29.9.2013+208.JPG


10154660_10152332201076271_286974520_n%2B%25282%2529.jpg
 
Kila 'tukio' la kashfa ya 'ulaji' wa pesa za umma, Mwigulu 'hakuwepo', hivyo hawezi kuchukua hatua yoyote ile.
Umeelewa sasa...??
Huyo ndio 'rais' wenu wa mwaka 2015..!!

Rais wetu Mwigulu ndiye rais aliyependekezwa 2015
 
daah , uraisi umekua rahisi...ni sheeda! mnaruhusu mafisadi waendelee kutuibia na kuficha hela nje ya nchi(katiba pendekezwa),afu mnakuja kupiga porojo.... eeh Mungu tusaidie!
 
Sasa Tumeshamchoka Mwigulu kila Siku kwenye hichi kipindi ..Kwani wasimlete wengine ,nasikia na Leo tena ANAONGEA yeye
 
Sasa Tumeshamchoka Mwigulu kila Siku kwenye hichi kipindi ..Kwani wasimlete wengine ,nasikia na Leo tena ANAONGEA yeye

Naanza kupata mashaka na huyu Buhohela. Isije kuwa kuna namna ili kupata nafasi kuhojiwa hasa kipindi chenyewe kimeanza kuwa kama mtindo wa maongezi hivyo ukiingia ni kusema utakayo tuu mpaka mwisho
 
serikali imekuwa ikiwatafutia masoko katika nchi za Congo na Sudan Kusini lakini kutokana na changamoto ya Ebola na machafuko huko Sudan impala imekuwa ni migumu lakini ametoa kibali na sasa wananchi wanaweza kuuza mazao yao nje ya nchi.Pia upo mchakato unaoendelea wizarani katika kuhakikisha wafanyakazi walau mishahara yao inaboreshwa ili kuweza kukabiliana na changamoto na gharama za maisha ya sasa.

Mabadiliko ni Vitendo,Tuache Kufanya mambo kwa Mazoea.
Tunaye Mwigulu Rais Aliyependekezwa 2015
Tunakuunga mkono Mwigulu



upuuzi na zaidi ya upuuzi
congo na sudan hazikupata ebola miaka ya karibuni(mwigulu aache utape)
 
Back
Top Bottom