Sherehe 3 muhim za binadam, kuzaliwa, kuoa/kuolewa, kufa. Sasa kama watu wanapiga diko hizo 2, kwanin ya tatu wasimalizie,? Kula ni lazma, kulia ndo hiari. Asilimia kubwa ya watakaofinya mpunga wala hawana maumivu ya kuondokewa na mpendwa wao, sana sana wamekuja kubypass budget zao za menu kwa siku hyo. (Usiombe ukaona wanavofinya matonge makubwa makubwa, huez amini).