Dakika 10 kabla ya harusi yako!!

Dakika 10 kabla ya harusi yako!!

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,248
Dakika 10 Kabla ya Harusi yako ,. Unapigiwa Simu Kuna Dili la Milioni 800 Alafu ni la uhakika lilikuwa linasuasua lakini sasa limekuwa tayali na ni lazima usaini sikuhiyohiyo uichukue.. Utaenda wapi ,. kwenye Harusi? au kwenye Dili???
 
Lah! Huu ni mtihani mgumu kwa kutoa maamuzi muafaka kijuu juu ni rahisi kusema "Dili" ndiyo mahala muafaka kwenda" lakini kiukweli kadamnasi utaiacha vipi kwenda kwenye dili lako?

Nitajifanya nimeugua ghafla na kuchukua boda boda na kutokomea kwenye dili langu kisha baada ya kukamilisha na kupata hela kimya kimya nitamjulisha Mke wangu kwamba Bw usidhani kwamba nilikukimbia bure, ni dili na kwa kuwa hela za michango zimesha tumika ndivyo sivyo tutangaze nimetibiwa kienyeji "jini mahaba" liliingilia ndoa yetu hivyo harusi ifungwe kwa gharana zetu!.
 
the 10 min b4 I say "I do" and the deal of 800 ml.teh!teh!teh! the deal first kwi kwi kwi kwi but a good wife is second mother how about money? a second God chezea hela wewee
 
hata ingekuwa milioni ishirini naachana na harusi kwanza.
 
Kwa njaa hii hata ingekuwa dili ya milioni 100 nawahi kwenye dili
 
nitaenda kufunga harusi na dili langu la hela potelea mbali
 
Hata mimi kiroho safi mauruhusu akachukue kwanja kwanza then harusi badae kwani harusi ndio nini kwenye hela???
 
Dakika 10 Kabla ya Harusi yako ,. Unapigiwa Simu Kuna Dili la Milioni 800 Alafu ni la uhakika lilikuwa linasuasua lakini sasa limekuwa tayali na ni lazima usaini sikuhiyohiyo uichukue.. Utaenda wapi ,. kwenye Harusi? au kwenye Dili???

kwenye dili then kama kufunga ndo ni cku yoyote tu
 
natoka kama naingia maliwato vile,wap bodaboda,wataoba vumbi tu linatimka!
 
Chezea pesa weye haruc hata kadamnac ikiondka mtoto ntaweka ndan hata kimyakmya
 
ahapo bora dili aisee maana ela hizo zita rudishsa harusi
 
Unaenda kwenye dili.... Unafanikiwa kuutia mkwanja mkonon,, upo njian unarud unapata ajali,,
 
Inategemea kabila gari. Mzaramo arusi kwanza ila mchaga dili kwanza
 
watu wengi wanasema Hela kwanza , lakini hilo ni dili na linaweza geuka wakati wowot likaharibika, Je yanaangaliwa madhara ya kama itatokea dili likaharibika,
 
Back
Top Bottom