Daimond akiri kutoka na Jokate!

pesa bwana ...acha wanawake walingie urembo kijana na huohuo mdomo mnaoudiss anawapanga....i salute you
 
Mkuu kwani kumtafuna mtu kuna-jali mtu atokapo> Mzuka ukipanda na mkaridhiana mambo mdundo¬
Mtoto wa Tandale Chaka kwa bi nyau anawatafuna watoto wa Masaki na Mikocheni..sasa huyo Joketi uwa anajifanya vingereza vingi uzungu kaangukia Tandale, maisha haya.
 
Ivi ana umri gani huyo dogo?mana mambo yake yamejaa unursery mtupu!
But tumpe mda tu hata kwa wema alianza hivyohivyo..
 
Hivi ni lazima kumkosoa mtu kwa maumbile yake? Tena ambayo mwenyezi mungu ndo kampata na wala hakuchagua? Wewe ambaye unajiona mkamilifu una mdomo mdogo, sura ya kuvutia n.k, unadhani una haki zaidi ya mwenzako kuwa hivo? Yote ni kazi ya mungu hiyo unaweza ukajifanya una nyodo kesho unapata ajali sura yote inakuwa kaa tigo! Shauri yako,endelea na kashfa zako izo.
 
Vipi kama huyo Diamond angekuwa bado anaishi Tandale kwa Mtogore bado angetoka na huyo Jokate?
 
Si mchezo...Jokate naye! Kweli ndege mjanja hunaswa na tundu bovu.
mapenzi hayana macho ndahani...tandale si shamba na goweko mtapaitaje?...kwa taarifa yako watoto wa uswazi ni wajanja kuliko hawa broiler tunaowafuga nje ya mji...
 
mhh...napita..

Mh Jokate hivi mama yako nafurahia haya. Mbona shule uliyo nayo na PR yako haviendani na ufanyayo angalia wapotea saana. Diomond wapange watafune saana wanajileta ukifika thirt kama mzima vuta kitu swaafi kumbuka kuwekeza tu usije ukaishiwa.
 
Akichezesha taya na mwandishi wetu wa GPL,platnum aka sukari ya warembo alikiri kwamba anatoka kimapenzi na mchuchu huyo(Mamaa wa kidoti),diamond alisema anampenda na hakuna kitu kitachoweza kuwaachanisha!

Source:Gazeti La Ijumaa(GPL)


Hayo tumeyasikia toka kwa Wema.
Unakumbuka walivyolishana Keki kwa mbwembwe..
Hayo ni maji yapitayo
 
nani anakudanganya kwamba huyo ni sukari ya warembo maybe chumvi ya makahaba.
 
Kila siku magazetini story ni Diamond na Wema..mtaani kuna mengi ya kuyasema..~DARASA~
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom