Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 486
Mh!Lizzy ujue ni kazi sana kuishi kwa style ya kutochangia kwenye jamii hii ya dotcomu,unaweza tengwa flan hivi.All an all namkubali sana mtu anaeishi kinyume na mazoea,big up kama ni kweli. . . .
jeuri wewe.Kwanini iwe kazi?
Kazi inakuwepo tu kama na wewe ni bingwa wa kupelekea wenzako kadi. Mimi kabla hawajafikiria kunitenga nilishajitenga. Mambo ya kupangiwa mpaka kiasi chakuchangia kama vile nanunua kitu sifagilii.
kwani ni canta tu hajaolewa? ungejua........hilo ni onyo kwa kina canta na wale wote ambao hawajaolewa..
Ndetichia like this
ina maana harusi yangu hutanichangia?Kwanini iwe kazi?
Kazi inakuwepo tu kama na wewe ni bingwa wa kupelekea wenzako kadi. Mimi kabla hawajafikiria kunitenga nilishajitenga. Mambo ya kupangiwa mpaka kiasi chakuchangia kama vile nanunua kitu sifagilii.
si ndo mana mi naendelea kumchunguza mtu mmoja wa AR.Ndetichia embu na nyie muwe mnachukua muda kujua mwanamke mnaetaka kumfanya mke ni wa aina gani msije mkalazwa nje/njaa.
unajiamini eh?Bishanga kwangu hakuwezi kuwaka moto kwahiyo we changia thread bana.
siji ng'o!Nichangiwe ya kazi gani?
Hiyo harusi itaendana na uwezo tulionao mimi, mwenzangu na familia zetu. Kama ni wa chai na maandazi, basi ndicho watakachoambulia waalikwa, kama ni kulisha pilau watu 20 basi wataalikwa hao tu.
ama kweli ushauri wa jf usikilize kisha changanya na za kwako!ungefukuzia mbali, aende
akaolewe na msusi
wataje.....of course baba A hajui.Hahahaha kumbe wajua? Sasa ulimshangaza kwa kukuta umejitendea haki badala ya kulala njaa au kwenda kula mabandani?
Alafu mie nnaowajua wengi wanajua kupika, NAWAHESHIMU.
thanks God kwamba......hujaoa au ulioa ukatema mkuu? bishanga naoa ...naacha...naoa....naacha...naoa...Hizi ndoa! dah.
Thanks god.
Hahahaha kumbe wajua? Sasa ulimshangaza kwa kukuta umejitendea haki badala ya kulala njaa au kwenda kula mabandani?
Alafu mie nnaowajua wengi wanajua kupika, NAWAHESHIMU.
thanks God kwamba......hujaoa au ulioa ukatema mkuu? bishanga naoa ...naacha...naoa....naacha...naoa...
ina maana harusi yangu hutanichangia?
si ndo mana mi naendelea kumchunguza mtu mmoja wa AR.
unajiamini eh?
Wanawake wa aina hii ni wengi sana tu, kuna uzi mmoja ulianzishwa kitambo sana sikumbuki vizuri issue ilikua kama hii yani mwanamke mchungu sana kutoa pesa yake kununua vitu vya ndani kisa mume yupo.
Kuna dada mmoja ana kazi nzuri sana lakini huwezi amini hata luku iiishe umeme uwazimikie haendi kununua atakachofanya anampigia mumewe simu akirudi nyumbani aje na luku.......yanii ana diriki kukaa gizani na watoto kuliko kutoa pesa yake akanunue luku si umasaburi huu! Watu kama hawa kipigo chao pale mume anapo RIP ndio wanashika adabu,ubahili wote unaisha nyamafuuu!

nimepoteza idadi,bishanga sitaki tabu.unatisha mkuu,sasa uliye naye wa ngapi?