Dah wanaume taabu

Hivi jaman inamaana me nahonga sana au?yaan hapo hata laki simalizi,hainisumbui kabisa,nadhani tatizo ni pale msichana anapotuma message kama hii kwa mwanaume asie na kazi au mwanachuo mwenzake.
 
huyo unamjibu bby tuongee kibiashara zaidi,basi weka fixed price ya hiyo kitu,ili niweke kwenye orodha yangu ya shopping kwa wiki!
 
Hivi jaman inamaana me nahonga sana au?yaan hapo hata laki simalizi,hainisumbui kabisa,nadhani tatizo ni pale msichana anapotuma message kama hii kwa mwanaume asie na kazi au mwanachuo mwenzake.
Khaaa hebu itizame vizuri hiyo message halafu ujaribu kuichambua neno kwa neno ndio utaielewa
 
au unaenda gereji kununua used tyes,

Kwangu Mimi haisumbui Nama hivyo vote nikishamtumia tu naganza Zangu.unajua masikini huwa tunahonga said I Julio Tajikistan,coz unaweza mkwepa Hugo sawa laminitis ukiwa na 30 elfu mfukoni na demu mwingine kakuomba 20 unampa kumbe umehonga zaidi ya alsilima 50 ya Akiba Yao.naona hana ghRama Hugo Kama ni mzuri
 
au unaenda gereji kununua used tyes,

Kwangu Mimi haisumbui Nampa hivyo vyote nikishamtumia tu naanza Zangu.unajua masikini huwa tunahonga zaidi coz unaweza mkwepa huyo sawa ukiwa na 30 elfu mfukoni na demu mwingine kakuomba 20 unampa kumbe umehonga zaidi ya alsilima 50 ya Akiba yako..naona hana gharama Huyo Kama ni mzuri
 
Ukweli husemwa:


Kwanza maelezo kwenye huo ujumbe hayaeleweki vizuri.

Ukija kumuona muda gani ili awe na dakita tatu tu. Kama kuna ujumbe mwingine ingekuwa vizuri ukadondoshea ili tuweze kujenga picha kamili.
 
Lakini vina umuhimu wake,vinakupa kampani na kunguza msongo aw mawazo na kesho unaendelea na kazi vizuri
 
Umenikumbusha enzi zetu yaani watoto wa Msalato au JKT Makutupora wakifunguliwa wewe unanunua Orange Squash na maji km kindoo kido cha lita 10 halafu unachanganya wakija unawapa na biskut kazi inaisha, walikuwa ni bora lakini vituko hivihivi,'Enzi zetu hakuna vocha wala chips
 
ukiona hvyo ujue kuna mwenzio anafaid buree au anakula unavyohonga ww...............
 
Back
Top Bottom